Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8446 results for Mwandishi Wetu :

  1. JKT Tanzania yaomba radhi, yampa pole Pacome

    Timu ya JKT Tanzania imeomba radhi na kumpa pole mchezaji wa Yanga, Pacome Zouzoua aliyeeshindwa kuendelea na mchezo wa Ligi Kuu baada yay a kufanyiwa rafu mbaya na mchwezaji Hasan Wahabi.

  2. Mipira ya kurusha na maajabu yake

    WAKATI ikiwa ni siku ya tatu ya mechi za mtoano za hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026, ulimwengu wa soka umeshuhudia mabadiliko kibao katika soka ambayo yamegeuka mjadala katika vijiwe vya...

    KURUSHA Pict
  3. Shields ashuka uzani kumkabili Scott

    BINGWA wa dunia wa uzani wa Heavyweight Claressa Shields atashuka madaraja matatu ya uzani kupambana na bingwa wa uzani wa kati anayeshikilia mikanda ya WBC na WBA Kaye Scott katika pambano...

    SCOTT Pict
  4. Kuna jambo Morocco inayoendelea ilipoishia

    Kocha mpya Mohamed Ouahbi, ameendelea kusimamia maendeleo ya Morocco katika Kombe la Dunia, huku falsafa yake ya wazi na matumizi ya vipaji kutoka diaspora ikiweka msingi wa uwezekano wa kubadili...

    MOROCCO Pict
  5. Ni fainali za Antonela na Georgina

    KULE Marekani ndiko waliko Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wakiziwakilisha nchi zoa katika fainali za Kombe la Dunia 2026, huku wakiwa na ndoto kubwa za kuvunja rekodi fulani katika historia ya...

    FAINALI Pict
  6. Mbappe aipeleka Ufaransa 16 bora

    TIMU ya taifa ya Ufaransa imekata tiketi ya kucheza hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Sweden, huku nyota wa kikosi hicho, Kylian Mbappe...

    MBAPPE Pict
  7. Rashford uso kwa uso na rafikiye wa utotoni

    MARAFIKI wa tangu utotoni, Marcus Rashford na Axel Tuanzebe wanatarajiwa kukutana katika mechi ya Kombe la Dunia itakayozikutanisha England na DR Congo katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia...

    RASHFORD Pict
  8. Nini kinachofuata Usyk kuachia mikanda matatu?

    BINGWA wa ngumi za uzito wa juu, Oleksandr Usyk ametangaza kuachia mataji yote matatu ya dunia aliyokuwa anayamiliki ya WBC, WBA na IBF, lakini amesisitiza hajaamua kustaafu mchezo huo.

    USKY Pict
  9. Arsenal yapoteza mtu nyuma ya Mikel Arteta

    KUNA mabadiliko mengine ya kiutendaji nyuma ya pazia katika timu ya Arsenal, huku msimu wa majira ya kiangazi wa kuondoka kwa baadhi ya wafanyakazi ukiendelea.

    ARSENAL Pict
  10. Enzo Maresca aanza na pigo Man City

    JANA, siku ambayo alitangazwa kuwa kocha mpya wa Manchester City, Enzo Maresca, alianza kwa kupokea habari mbaya kuhusu kikosi chake ikielezwa kwamba kiungo na mshindi wa Ballon d’Or 2024...

    MARESCA Pict
Previous

Page 59 of 845

Next