Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9609 results for Mwandishi :

  1. Evra aishangaa CAF, asema imeshusha heshima ya soka la Afrika

    Gwiji wa soka wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal, Patrice Evra, amemwaga povu zito kufuatia uamuzi wa CAF wa kuivua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuipatia Morocco.

  2. Kombe la Dunia 2026, ombi la Iran lawekwa 'kapuni'

    Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) limepiga chini ombi la Iran la kutaka kucheza mechi zake za Kombe la Dunia 2026 nchini Mexico badala ya maeneo yaliyopangwa awali.

  3. Robertson, Liverpool wamalizana England

    HABARI hii inaweza kutafsiriwa tofauti na mashabiki wa Liverpool, kwani inaashiria mwisho wa enzi ya mmoja wa wachezaji muhimu zaidi kwa mafanikio ya hivi karibuni, Andy Robertson.

    ROBERTSON Pict
  4. Kocha Man United atoa msisitizo, asema hauzwi mtu

    KOCHA Mkuu wa Manchester United, Ruben Amorim amesema hakuna mchezaji atakayeuzwa kwenye dirisha la Januari kama hatakuwa amepatikana mbadala wake.

    AMORIM Pict
  5. Davido aipa Taifa Stars bao dhidi ya Nigeria

    STAA wa muziki wa Nigeria, Davido ametoa utabiri wake wa nchi ambayo anaamini itanyakua ubingwa wa Afcon 2025.

    DAVIDO Pict
  6. TMA Stars yawapa ‘thank you’ kocha na wasaidizi wake

    Klabu ya TMA Stars FC kupitia kwa Katibu wake Mkuu, Mbwana Hamad Mbwana umetangaza kusitisha mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Habibu Kondo pamoja na wasaidizi wake.

  7. Muya apewa mkono wa kwaheri Coastal Union

    Coastal Union imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, Mohammed Muya kuanzia leo Jumatano, Aprili 8, 2026.

  8. Black Stars tayari kwa Kombe la Dunia 2026

    Chama cha Soka cha Ghana (GFA), kimeachia video maalum inayoonyesha kambi ya timu ya taifa hilo maarufu Black Stars, iliyoko Cardiff, Wales tayari kwa maandalizi ya Fainali za Kombe la Dunia 2026.

  9. Olise azua mjadala kuhusu Ronaldo

    Winga wa Bayern Munich na Ufaransa, Michael Olise ameibua mjadala baada ya kumtaja Bruno Fernandes kuwa mchezaji bora wa sasa kutoka Ureno badala ya Cristiano Ronaldo.

  10. JKT yazinduka BDL

    JKT imezinduka katika Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL), baada ya kuifunga Veins BC kwa pointi 57-56 kwenye Uwanja wa Donbosco, Upanga.

Previous

Page 55 of 961

Next