Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9600 results for Mwandishi :

  1. ‎Neuer atajwa kikosi cha awali Ujerumani Kombe la Dunia

    ‎Kipa nguli wa Bayern Munich, Manuel Neuer anaripotiwa kuwa mbioni kukatisha kustaafu kwake ili kurejea kuitumikia timu ya taifa ya Ujerumani katika michuano ya Kombe la Dunia.

    NUER Pict
  2. ‎Ancelotti asaini minne Brazil, afichua jambo ‎

    Shirikisho la Kandanda la Brazil (CBF) limetangaza kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa hilo, Carlo Ancelotti amesaini mkataba mpya wa miaka minne utakaodumu hadi Julai 2030.

    CARLO Pict
  3. Aubrey Modiba anautaka ubingwa CAFCL

    Beki na kiungo wa Mamelodi Sundowns, Aubrey Modiba, amewataka wachezaji wenzake kubaki na mtazamo chanya kuelekea mchezo wa mkondo wa pili wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), dhidi ya...

    MODIBA Pict
  4. Chelsea yampa Alonso miaka minne

    KLABU ya Chelsea imethibitisha rasmi kumteua Xabi Alonso kuwa kocha mpya wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka minne.

    ALONSO Pict
  5. Simbu atetea nafasi ya pili Boston Marathon

    Mwanariadha nyota wa Tanzania, Alphonce Simbu amepeperusha vyema bendera ya nchi baada ya kumaliza katika nafasi ya pili kwenye Mbio za Boston Marathon ambazo zimefanyika leo huko Boston Marekani.

  6. Mr P aibua maswali baada ya kubadili tarehe ya kuzaliwa

    Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Peter Okoye maarufu kama Mr P, ametangaza rasmi kubadilisha tarehe yake ya kuzaliwa kutoka Novemba 18 kwenda Novemba 30, bila kutoa sababu za uamuzi huo.

  7. Saka amchumbia mrembo Tolami

    BUKAYO Saka amethibitisha kumchumbia mpenzi wake wa siku nyingi, mrembo Tolami Benson baada ya kuposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram.

  8. Azam FC yashusha vichwa viwili matata

    BODI ya Azam Football Club imemtangaza rasmi Octavi Anoro (42), raia wa Hispania, kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu hiyo, kwa mkataba wa miaka miwili utakaomalizika mwaka 2027.

    AZAM Pict
  9. Roque avunja ukimya dili la kurudi Ulaya

    NYOTA anayewaniwa na klabu za Man Utd na Chelsea, Vitor Roque amethibitisha mipango yake ya kutaka kurudi Ulaya.

    ROQUE Pict
  10. Kounde, Balde waiwahi Atletico Madrid

    Wachezaji hao ni Jules Kounde, Alejandro Balde na Frenkie de Jong.

Previous

Page 54 of 960

Next