Rainford Kalaba mahututi ajali ya lori Kwa mujibu wa Polisi wa Zambia, “uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba ajali ilitokea baada ya gari aina ya Benz kujaribu kuipita gari nyingine bila ya tahadhari, na kusababisha kwenda kulivamia...
Ronaldinho alivyoachana na De Lima njia panda HIVI karibuni ziliibuka stori za mchezaji wa zamani wa Barcelona, PSG, AC Milan na timu ya taifa ya Brazil, Ronaldhino Gaucho, 44, ikieleza kwamba hali yake ya kiuchumi inazidi kuwa mbaya. Hii...
Yanga yakimbilia CAF kulidai bao la Aziz Ki Saa chache tangu Yanga itolewe katika mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa kwa penalti 3-2 na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, imeamua kukimbilia Shirikisho la Soka...
Job, Bacca wampa presha Kocha Mamelodi Ikiwa zimebaki saa chache kabla ya mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini na Yanga unaotarajiwa kupigwa kesho Ijumaa jijini...
P Diddy tajiri anayeishi kwa wasiwasi mjini LOS ANGELES, MAREKANI. HABARI inayoenea kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya habari ni kumhusu mmoja wa malejendari wa muziki wa Hip Hop Marekani na duniani, Sean Comb...
Kiungo Chelsea ashambuliwa kwa ubaguzi wa rangi LONDON, ENGLAND. KIUNGO wa Chelsea, Conor Gallagher ameshambuliwa na kuzomewa kwenye mtandao wa X baada ya kusambaa kwa video yake inayoashiria ubaguzi wa rangi. Katika video hiyo, Gallagher...
Man United, Chelsea zakabwa koo EPL Kwa upande wa Man United ambayo inapambana kufuzu Ligi ya Mabingwa, kwa kumaliza ndani ya nafasi nne za juu, hadi sasa utofauti wa alama kati yao na Aston Villa iliyopo nafasi ya nne ni pointi 11.
Simba, wabunge wasafirisha miili waliopoteza maisha ajalini KLABU ya Simba kwa kushirikiana na baadhi ya wabunge wameshirikiana kusafirisha miili ya mashabiki wawili wa timu hiyo waliopoteza maisha wakienda Dar es Salaam kuangalia mchezo wa robo fainali...
Kwa Mkapa mtapigwa hivi! MAKOCHA wa Simba na Yanga, Abdelhak Benchikha na Miguel Gamondi ndio waliobeba matumaini ya mashabiki na wadau wa soka la Tanzania katika mechi za robo fainali za kwanza za Ligi ya Mabingwa...
Marefa wa VAR za Simba, Yanga CAF hawa hapa Kwa upande wa Yanga, mwamuzi kiongozi kwenye VAR ni Mahmoud Ashor na Mahmoud Elbana wote kutoka Misri.