Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

195 results for Kelvin Kagambo :

  1. Nani atusahaulishe kuhusu Ray C

    KILA nikimtazama msanii mpya wa Bongo Fleva aliyesajiliwa kwenye lebo ya Nandy, Yasirun Yassin Shaban maarufu Yammy nashindwa kujizuia kumkumbuka Ray C. Sauti yake na mikogo ni kama Ray C anakuja...

  2. TUONGEE KISHKAJI: Filamu za kichawi mbele zinaingiza mkwanja, bongo zinafundisha uchawi

    FILAMU za Harry Potter zimeingiza mapato ya zaidi ya Dola za Marekani 7.7 bilioni. Hiyo ni sawa na zaidi ya Sh17 trilioni. Hapo hatujazungumza kuhusu vitabu cha Harry Potter ambavyo ndivyo...

  3. TUONGEE KISHKAJI: Je Bambo anamchumia Diamond!

    ‘BAMBO anatrendi’ kwa mtu ambaye uko mtandaoni hii sio habari kwa sababu utakuwa umeshapishana na vibonzo kibao vikitumia picha za staa huyo wa zamani wa kundi la michezo ya kuigiza la Kaole.

  4. TUONGEE KISHKAJI: Ningekuwa S2Kizzy ningewaambia hivi wanaompinga S2Kizzy

    NINGEKUWA S2Kizzy nisingebishana na mtu yeyote anayesema S2Kizzy sio prodyuza mkali. Nisingebishana na mtu yeyote anayekataa kukubali kwamba kati ya ‘hit song’ zote zilizotoka 2024 asilimia 80...

  5. TUONGEE KISHKAJI: Saluti kwao Cheka Tu kuanzisha chaneli ya TV

    Juzi Ijumaa, mwanzilishi wa Cheka Tu, Coy Mzungu na timu yake walizindua chaneli ya kwanza ya TV Tanzania na pengine Afrika Mashariki kwa ajili ya vichekesho.

  6. Jay Melody anataka nini kupitia albamu yake mpya?

    Miaka fulani hapo nyuma kabla Jay Melody hajawa Jay Melody tunayemjua leo nilisikia baadhi ya ngoma zake nikajisemea mwenyewe kimoyomoyo “huyu dogo ni mtu hatari”. Na sikuishia hapo nyimbo zake...

  7. TID kaelewa 'assigment', ila awe makini na watoto wa 2000

    KAMA wewe ni mtu wa mitandao bila shaka unafahamu kinachotrendi wiki hii ni vita ya maneno kati ya msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’ na msanii wa kisasa wa muziki...

  8. TUONGEEKISHKAJI: Kwanini wasanii wanapenda kusimulia shida?

    MTU mmoja aliniuliza, “kwani ni lazima watu maarufu hususan wasanii wanapoongelea maisha yao waseme kwamba walitokea kwenye maisha ya tabu?” Ni kawaida kusikia stori kwamba “baba yangu...

  9. TUONGEKISHKAJI: Msilalamike kuhusu Grammy, Afrika haina nchi tatu

    TUZO za Grammy zilitolewa majuzi na katika kipengele cha Msanii Bora Afrika alishinda Tyla Laura Seethal maarufu Tyla kutoka Afrika Kusini na wimbo wake wa Water. Na kama kawaida, ushindi wa...

  10. TUONGEEKISHKAJI: Ngoma za TikTok ni kama wauza simu feki Kariakoo

    KAMA hujawahi kufika Bongo, Dar es Salaam, ngoja nikusimulie moja ya staili za wizi na utapeli zinazofanyika katika jiji hili la wajanja ili ikitokea siku umekuja usiwe mgeni kivile. Kuna staili...

Previous

Page 6 of 20

Next