Bondia aliyefariki Zanzibar kwa kupigwa TKO, azikwa Dar Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam.
Wasomi: Ulingoni imo, shule imo MICHEZO ni moja ya kazi zinazoingiza pesa nyingi sana kwa sasa. Hata wasomi nao wamehamia kwenye michezo.
Ladies First kuanza kesho MASHINDANO ya riadha ya wanawake (Ladies First) msimu wa sita yanatarajiwa kufanyika kwa siku tatu kuanzia kesho Ijumaa hadi keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam.
Mwakinyo, Kalolo walivyosepa na milioni 10 za Rais Samia WIKIENDI iliopita kutoka Novemba 15 hadi 16, mwaka huu ilikuwa ya moto katika mchezo wa ngumi za kulipwa nchini kutoka na kufanyika mapambano matatu makubwa huku mawili yakifanyika ndani ya siku...
GRACE: Kukosa wapinzani kulivyompa ulaji jeshini HISTORIA ya Kitongoji cha Keko Magurumbasi, jijini Dar es Salaam na mchezo wa ngumi itaendelea kuishi milele.
Washtueni kina Mwakinyo ngumi zinalipa MBALI ya maumivu, mchezo wa ngumi umekuwa ukiwanufaisha kiuchumia mabondia wengi duniani, kwani baada ya kustaafu huishi maisha ya kitajiri kutokana na pesa nyingi walizolipwa walipocheza...
RESPECT: Wabongo waliobeba mikanda ya heshima Achana na ngumi za ridhaa, ambazo kawaida mabondia wanakuwa wanacheza raundi tatu pekee, kwenye ngumi za kulipwa ni tofauti kwani huanzia mapambano ya raundi nne, sita nane kumi na 12 ambayo...
RESPECT: Wabongo waliobeba mikanda ya heshima Achana na ngumi za ridhaa, ambazo kawaida mabondia wanakuwa wanacheza raundi tatu pekee, kwenye ngumi za kulipwa ni tofauti kwani huanzia mapambano ya raundi nne, sita nane kumi na 12 ambayo...
KINAPIGWA TENA: Ni wikiendi ya KO ya Mama Dar UHONDO wa ngumi unaweza ukadhani umesimama. Hapana. Licha ya sasa kutokuonyeshwa kwenye runinga kama awali baada ya Kampuni ya Azam Media kujitoa, lakini huko kitaa kinapigwa haswa.
Ligi Kuu Bara… Ngoja tuone inakuwaje Leo jioni inapigwa mechi moja tu ya Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Fountain Gate dhidi ya Kagera Sugar, lakini sasa ni kwamba kesho kipute cha ligi hiyo kinaendelea kwa michezo mitatu ikikutanisha...