Badiliko moja Stars ikiivaa Kenya Benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' limefanya badiliko moja katika kikosi chake ambacho kimeanza dhidi ya Kenya katika mechi ya kuwania mshindi wa tatu wa...
Kili Stars hasira kwa Wakenya, Uganda walikuwa moto! KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars', Juma Mgunda amesema kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Uganda kimepita na sasa nguvu yao wanaielekeza katika mchezo wa kuwania mshindi wa...
Eritrea yaitupa nje Kenya kwa mshangao KENYA imevuliwa kwa aibu ubingwa wa mashindano ya Chalenji baada ya kupewa kichapo cha mabao 4-1.
Zanzibar yaaga Chalenji KIPIGO cha bao 1-0 ilichokipata mbele ya Kenya, kimeifanya timu ya taifa ya Zanzibar eroes kuaga mashindano ya Chalenji yanayoendelea jijini hapa Kampala
Kocha mpya Simba SC Mholanzi, Mnigeria wapeta Mwanaspoti limefanikiwa kuyanasa majina ya makocha hao ambao ni Zlatko Krmpotic (raia wa Serbia), Paul Aigbonun (Nigeria), Frank Nuttal (Scotland), Nelson Eduardo Silva Santos (Mreno), Ivan...
Kilimanjaro Stars yachapwa na Kenya ufunguzi Chalenji Kenya ni mabingwa watetezi wa mashindano ya Chalenji wakiwa wamelitwaa taji mwaka 2017 yalipofanyika nchini mwao
Vijana yaduwazwa na Ukonga Kings nusu fainali RBA Vigogo wa mpira wa kikapu, timu ya vijana imeanza kwa kipigo mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Ligi ya mkoa wa Dar es Salaam (RBA) inayoendelea.
Hatma ya kocha mpya Simba mikononi mwa Tenga ,Madadi JANA Jumatatu vigogo wa Simba walianza kuchambua maombi ya makocha wanaotaka kurithi mikoba ya Mbelgiji Patrick Aussmes, ambaye amefutwa kazi hivi karibuni. Habari za kuamini ni kwamba, makocha...
Kiingilio nusu fainali Cecafa buku tu BARAZA la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limetangaza bei ya kiingilio kwa michezo ya nusu fainali ya mashindano ya wanawake ya Afrika Mashariki kuanzia kesho Jumamosi...
Skendo zilivyokwanyua utajiri wa mastaa BADO Kenya inaendelea kujisafisha kwenye suala la skendo za matumizi ya dawa za kuongeza nguvu kwa wanariadha wake.