England yahaha kumzuia Erling Haaland BEKI wa England, Marc Guehi amesema anafurahia changamoto ya kumkabili mshambuliaji hatari wa Norway, Erling Haaland, lakini rekodi yake dhidi ya nyota huyo inaonyesha kazi inayomsubiri si rahisi...
Norway yatimka hotelini kabla ya kuivaa England Timu ya taifa ya Norway imelazimika kuhama hoteli ya nyota tano mjini Miami, Marekani, baada ya kukaa usiku mmoja pekee, ikidai mazingira ya hoteli hiyo hayakuwa rafiki kwa maandalizi yao...
Superkompyuta yatabiri England kutolewa, Messi kubeba tena Kombe la Dunia Superkompyuta iliyotengenezwa na kampuni ya ubashiri ya British Gambler imetabiri kuwa ndoto za England kutwaa Kombe la Dunia 2026 zitaishia katika hatua ya nusu fainali, huku Argentina...
Kisa Singida BS, Azam yahaha kwa Kitambala AZAM inahaha kumrudisha kundini mshambuliaji wake, Jephte Kitambala ambaye amebakiza hatua chache kumalizana na Singida Black Stars iliyomchukua kwa jeuri ya fedha.
Misri yawashtika waamuzi kwa FIFA SHIRIKISHO la Soka la Misri (EFA) limewasilisha malalamiko rasmi kwa FIFA likitaka waamuzi waliosimamia mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Argentina waondolewe katika Kombe la Dunia, likidai...
Leverage Trading Strategies: A Beginner's Guide to Risk Management Recent enforcement actions against derivatives platforms for inadequate risk controls highlight a reality most beginners overlook: leverage trading risk management isn't optional — it's structural.
Arbeloa aula Fulham KLABU ya Fulham imemtangaza rasmi Alvaro Arbeloa kuwa kocha wake mpya kwa mkataba wa miaka mitatu, akichukua nafasi ya Marco Silva ambaye ameondoka kujiunga na Benfica ya Ureno.
Camavinga kutimkia Man City KIUNGO Eduardo Camavinga ni mmoja wa wachezaji wanaotajwa wanaweza kuondoka Real Madrid CF katika dirisha hili la usajili akitajwa kuelekea Manchester City.
Enzo avunja ukimya wa hatma yake ya kutua Madrid KIUNGO wa Chelsea, Enzo Fernandez amekataa kuzungumzia hatma yake katika klabu hiyo huku tetesi za kuhusishwa na Real Madrid zikiendelea kushika kasi katika dirisha hili la usajili.