Gyokeres bado shida iko hapa DILI la Arsenal la kumnasa straika Viktor Gyokeres lipo kwenye hatari ya kuvunjika, imeripotiwa.
Al Hilal ya Sudan yabeba ubingwa Ligi Kuu Mauritania Timu ya Al Hilal ya Sudan chini ya kocha Florent Ibenge, iliyokuwa ilishiriki Ligi Kuu ya Mauritania imetwaa ubingwa ikiwa na michezo miwili mkononi
Kocha Spurs yupo matatani INAELEZWA nafasi ya kocha wa Tottenham, Ange Postecoglou, iko hatarini sana licha ya kuiwezesha timu hiyo kufuzu Ligi ya Mabingwa kwa kuchukua ubingwa wa Europa League.
Fifa yaichomoa Congo Brazzaville kifungoni Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) limeiondolea adhabu ya kulifungia Shirikisho la soka la Congo Brazzaville (FECOFOOT).
Beno Ngassa ajibana Dodoma Jiji WINGA machachari, Beno Ngassa amejiunga na timu ya Dodoma Jiji kwa mkataba wa miaka miwili kuitumikia katika msimu ujao.
Namungo FC yamrejesha Kikoti MABOSI wa Namungo wameamua kumrejesha nyumbani kiungo mnyumbulifu, Lucas Kikoti ambaye msimu uliopita alikuwa akicheza Coastal Union.
Vinicius awakacha Waarabu LICHA ya kuwekewa ofa nono na matajiri wa Saudi Arabia, Vinicius Junior amekataa ofa hiyo na kukubali kusaini mkataba mpya na Real Madrid ambao utatangazwa mwishoni mwa msimu.
Ibenge amvuta mbaya wa Yanga Dar Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya Sudan, kocha wa Waarabu hao Florent Ibenge amemvuta mjini kocha mmoja aliyewatibulia wenyeji...
Aguero amtuma mabao Haaland SUPASTAA, Sergio Aguero anamtaka mtambo wa mabao Erling Haaland kurudi kwenye ubora wake huko Manchester City - afunge mabao ya kutosha kuvunja rekodi yake.
Wanamichezo wamlilia Mwinyi Wanamichezo kote nchini wameonyesha masikitiko yao baada ya kutangazwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili, Ally Hassan Mwinyi.