He! Mo Salah kakataa tuzo huko England MOHAMED Salah juzi Jumamosi alipiga hat-trick wakati Liverpool ilipojipigia Bournemouth mabao 4-0 na kukamatia usukani wa Ligi Kuu England.
Stand United, Bilo damudamu Kocha huyo amekuwa na timu hiyo kwa zaidi ya misimu miwili kabla ya kusimamisha mwishoni mwa mwaka jana
Man United wapo siriazi kwa De Ligt MANCHESTER United wanaripotiwa kwamba bado hawajafuta mpango wao wa kumsajili beki wa kati wa Ajax, Matthijs de Ligt.
Manchester United yajitosa kwa Mandzukic kuzipa pengo la Lukaku Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili nchini England, Manchester United wako mbioni kumsajili Mario Mandzukic kuziba pengo la Romelu Lukaku.
Bondia Joshua aingizwa mtegoni Bondia Gennady Golovkin raia wa Kazakhstani amesema baada ya kumshinda Canelo Alvarez raia wa Mexico sasa atapanda uzito ili acheze na Anthony Joshua katika uzani wa juu.
Nigeria yashika namba tatu Afcon 2025 NIGERIA imethibitisha nafasi yake ya tatu katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penalti 4-2 dhidi ya Misri.
TFF yaufungia Uwanja wa KMC kwa kukosa vigezo vya kikanuni Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, TFF limeufungia uwanja wa KMC kutumika kwenye mechi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu
Arsenal yashinda yakaribia ubingwa EPL Bao pekee alilofunga na Kai Havertz limetosha kuipa pointi tatu muhimu Klabu ya Arsenal ambayo imebakiza mechi moja kumaliza msimu wa Ligi Kuu England wa 2025/2026.
Suarez hatihati kwenda Kombe la Dunia 2026 Ndoto ya mshambuliaji Luis Suarez kucheza kwa mara ya tano Kombe la Dunia akiwa na Uruguay ipo shakani.
Al Hilal inabalaa yabeba tena ugenini AL Hilal imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Rwanda ikiwa imebakiza mechi nne kumaliza msimu wa 2025-2026.