Rais Trump amsifia tena Harry Kane RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kumpa sifa nahodha wa England, Harry Kane, akimtaja kuwa mmoja wa wachezaji bora na kufichua kuwa aliwahi kucheza naye mchezo wa gofu.
Camavinga kutimkia Man City KIUNGO Eduardo Camavinga ni mmoja wa wachezaji wanaotajwa wanaweza kuondoka Real Madrid CF katika dirisha hili la usajili akitajwa kuelekea Manchester City.
Mbappe anavyomtishia Messi kiatu cha dhahabu MBIO za kuwania Kiatu cha Dhahabu (Golden Boot) katika Kombe la Dunia 2026 zimeingia katika hatua ya kusisimua kuelekea michezo ya mtoano, huku Kylian Mbappe akimfikia Lionel Messi kileleni mwa...
Tottenham Hotspur yamnasa Mateus Fernandes TOTTENHAM Hotspur imekamilisha usajili wa kiungo Mateus Fernandes kutoka West Ham kwa ada iliyovunja rekodi ya klabu hiyo ya pauni85 milioni.
Riyad Mahrez atundika daluga MKONGWE Riyad Mahrez ametangaza kustaafu kuchezea timu ya taifa dakika chache baada ya Algeria kutolewa kwenye Kombe la Dunia.
Mbwa amponza beki Real Madrid BEKI wa Real Madrid, Ferland Mendy anakabiliwa na uwezekano wa kufungwa jela baada ya mbwa wake kudaiwa kumjeruhi kijana katika tukio la mashambulizi ya kung'ata watu.
Ronaldo amfariji mtoto aliyenusurika tetemeko, amwalika kumtazama akicheza CRISTIANO Ronaldo amemtumia ujumbe wa kumfariji moyo mvulana wa Venezuela aliyepoteza kila kitu kutokana na tetemeko la ardhi la hivi karibuni.
Neymar atangaza kustaafu Timu ya Taifa ya Brazil NYOTA wa Brazil, Neymar, ametangaza kustaafu soka la kimataifa baada ya Brazil kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2026 kufuatia kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Norway.
England, Argentina ni vita ya kisasi ENGLAND italazimika kuiondoa Argentina ya Lionel Messi ikiwa inataka kuendelea kuota ndoto ya kutwaa Kombe la Dunia 2026.
Nyota wa Barcelona kutimkia PSG MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Ferran Torres anatarajiwa kujiunga na mabingwa wa Ulaya Paris Saint-Germain (PSG) mara baada ya kumalizika kwa Kombe la Dunia 2026.