Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

477 results for Ibrahim Mussa :

  1. Simba hii mtaitaka lawama

    SIMBA imerudi upya, asikuambie mtu. Wapinzani wao wa Ligi Kuu Bara lazima wajipange kwelikweli kwani, hakuna namna nyingine wa kuidhibiti. Jana Jumatatu ilikuwa ikiadhimisha miaka 80 tangu...

  2. Mbona Omog tayari kitambo

    KOCHA Mkuu wa Simba, Mcameroon Joseph Omog amelitamkia Mwanaspoti kuwa, tayari amepata kikosi cha kwanza yaani ‘first 11’ kabambe ambayo anaamini itampa ubingwa wa Ligi Kuu Bara pamoja na...

  3. Mghana aanza vizuri

    STRAIKA Mghana, Diawuo Jonhson kutoka Unit FC, ameanza vizuri katika majaribio yake na kikosi cha Simba yanayoendelea Uwanja wa Highlands mkoani Morogoro.

  4. Mkwasa awaacha Samatta, Ulimwengu Stars

    Kocha Mkuu wa Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa ameita wachezaji 24 watakaingia kambini kwa ajili ya mechi Nigeria, Septemba 2, 2016.

  5. Mzimbabwe mwili nyumba, mpira mwingi

    KOCHA Mkuu wa Simba, Mcameroon Joseph Omog amesema, Mzimbabwe Method Mwanjali ni beki wa kati na atamchezesha nafasi hiyo kama atakuwa naye kikosini, lakini beki huyo mwenye nguvu, akawatoa hofu...

  6. Yanga yakwea na kiburi, Akilimali aibuka

    LICHA ya kwamba mashabiki wana wasiwasi kama Yanga inaweza kumpiga Mghana Jumanne jioni kwenye Uwanja wa Sekondi, Takoradi nje kidogo ya Accra, nchini hapa wachezaji wakiongozwa na wale wa kigeni...

  7. Simba ya Moro mtashika adabu

    KOCHA wa Simba, Joseph Omog ameiona ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu ujao na kugundua kuwa ana siku 30 tu za maandalizi ya mwisho kabla ya msimu kuanza na kuamua kufanya kazi moja kubwa ya haraka...

  8. Yanga yatesa tuzo za ligi Kuu Bara

    WAKATI kocha Hans Pluijm wa Yanga akiibuka kocha bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Bara msimu wa 2015/16, beki wa timu hiyo, Juma Abdul ametwaa tuzo ya mchezaji bora.

  9. Mzuka huu wa wachezaji wapya Simba noma aisee

    MCHEZAJI kiongozi wa Simba, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amewaambia mashabiki wa klabu hiyo kwamba wasiwe na wasiwasi kwa mzuka waliokuja nao wachezaji wapya ndani ya kikosi hicho, kitaeleweka tu...

  10. Simba yashusha kiboko ya Kamusoko

    YANGA imekuwa ikiwatambia watani zao mitaani kwa sababu ya mtu mmoja tu, Thabani Kamusoko ‘Rasta’ anayepiga soka la kufa mtu pale kati akigawa mapande makali kwa staili ya Kampa Kampa tena...!

Previous

Page 42 of 48

Next