Yanga v Tanzania Prisons... Kwani nyie mnatakaje? NI siku nyingine tena mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC inashuka dimbani kukabiliana na Tanzania Prisons katika mwendelezo wa ligi hiyo inayokaribia kufika ukingoni mwa duru la kwanza.
PRIME Yanga ina dakika 270 tu CAFCL YANGA imesaliwa na dakika 270 za kufa au kupona kama inataka kwenda robo fainali kutoka Kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya jana kuambulia pointi moja dakika za jioni baada ya mtokea...
Dube aikoa Yanga jioni, ikipata pointi moja ugenini BAO la dakika za jioni lililowekwa kimiani na mshambuliaji aliyetokea benchi, Prince Dube imeiokoa Yanga isife ugenini jijini Lubumbashi, DR Congo baada ya kulazimisha sare ya 1-1 dhidi ya...
Madrid yapanga jambo dili la Alphonso Davies REAL Madrid huenda ikaachana na mpango wa kutaka kumsajili beki wa kushoto wa Bayern Munich na Canada, Alphonso Davies, ²4, baada ya kuona staa huyo anachelewa kufanya uamuzi kama atajiunga nao...
Real Madrid haitaki utani, yatua kwa Cole Palmer Palmer ambaye amekuwa katika kiwango bora tangu ajiunge na Chelsea katika dirisha la majira ya kiangazi mwaka jana, mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwaka 2033.
PRIME Kagoma aibuka, avunja ukimya ishu ya Simba YUSUPH Kagoma ndilo jina linalotajwa sana kwenye mitandao ya kijamii hivi sasa na hii ni baada ya staa huyo wa Simba kufuta utambulisho wake na timu hiyo kwenye mtandao wake wa kijamii 'Instagram'.
Mwakinyo, Kalolo walivyosepa na milioni 10 za Rais Samia WIKIENDI iliopita kutoka Novemba 15 hadi 16, mwaka huu ilikuwa ya moto katika mchezo wa ngumi za kulipwa nchini kutoka na kufanyika mapambano matatu makubwa huku mawili yakifanyika ndani ya siku...
Majanga Ligi Kuu England HALI ya majeraha kwa timu za Ligi Kuu England imeendelea kuwa mbaya siku hadi siku huku chama cha wachezaji wa soka la kulipwa kikidai idadi kubwa ya mechi ni janga linalosababisha hali hiyo.
OSCAR: Nani? Debora! Kuna Mwambungu OSCAR Paul siyo jina geni katik Ligi Kuu Bara, aliyeanza kukipiga Tanzania Prisons kabla ya kutupiwa virago baada ya mkataba wake kwisha na kujiunga na Kakamega Home Boys ya Kenya.
Washtueni kina Mwakinyo ngumi zinalipa MBALI ya maumivu, mchezo wa ngumi umekuwa ukiwanufaisha kiuchumia mabondia wengi duniani, kwani baada ya kustaafu huishi maisha ya kitajiri kutokana na pesa nyingi walizolipwa walipocheza...