Yanga yatinga tano bora Caf, Diarra achomolewa Bado wapo wapo sana tuzo za CAF 2023. Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita Yanga SC ni miongoni mwa timu tano zilizotinga kuwania...
PRIME Singida Fountain Gate yafungiwa kusajili Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa taarifa ya kufungiwa kusajili wachezaji kwa klabu ya Singida Big Stars inayoshiriki Ligi Kuu baada ya Nicholas Gyan kufungua kesi ya madai dhidi...
Makocha walioipa ubingwa Simba waibukia Botswana KOCHA wa zamani wa makipa wa Simba na Yanga, Milton Nienov ameungana na kocha Didier Gomes da Rosa aliyewahi kuinoa Simba kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Botswana. Milton ambaye alikuwa na Da...
Kipigo cha Yanga kwa Simba chatua bungeni Sakata la rushwa kwenye michezo limezua mzozo bungeni leo Jijini Dodoma na mchezo wa wa Kariakoo Dabi iliyochezwa Jumapili Novemba 5, 2023 katika Uwanja wa Mkapa kuhusishwa kuwa na viashiria...
Kipigo cha Yanga, chatimua makocha Simba Saa chache tu tangu ipokee kipigo cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga, mabosi wa klabu ya Simba leo Novemba 7 imefikia makubaliano ya kuachana na Kocha Roberto Oliveira 'Robertinho' na kocha wa viungo...
Mchekeshaji Mr Ibu akatwa mguu kuokoa maisha yake Mchekeshaji nguli wa Nigeria, John Okafor ‘Mr IBU’ amekatwa mguu jana baada ya kufanyiwa upasuaji mara saba na sasa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi 'ICU'. Taarifa iliyopostiwa na...
FIFA yaifungia Tabora United kusajili wachezaji Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa taarifa ya kufungiwa kusajili wachezaji kwa klabu ya Tabora United (Kitayosce) inayoshiriki Ligi Kuu baada ya Evariste Mutambay Kayembe kuhinda...
Gamondi afichua siri ya mavitu matamu Yanga Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi kupitia akaunti yake ya Instagram baada ya mechi ya ‘Kariakoo Derby’ ataja mambo manne yanayoibeba tmu hiyo na yaliyowapa ushindi jana Kariakoo Dabi. Gamondi...
Wydad yanusa ubingwa AFL Wydad Casablanca imenusa ubingwa wa African Football League ba,ada ya kuichapa Mamelodi Sundowns mabao 2-1 jana katika Uwanja wa Mohamed V nchini Morocco. Mabao ya Wydad yamefungwa na Rivaldo...
JKT Queens yaanza vibaya CAF WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa ya Wanawake JKT Tanzania imeanza vibaya michuano hiyo baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Mamelodi Sundowns kwenye mchezo wa kwanza wa...