Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Gamondi afichua siri ya mavitu matamu Yanga

Muktasari:

  • Gamondi ameandika “Siri? Ni kupambana, kupambana na kupambana pamoja na kipaji, nidhamu na furaha yakuwa kwenye timu hii”

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi kupitia akaunti yake ya Instagram baada ya mechi ya ‘Kariakoo Derby’ ataja mambo manne yanayoibeba tmu hiyo na yaliyowapa ushindi jana Kariakoo Dabi.

Gamondi ameandika “Siri? Ni kupambana, kupambana na kupambana pamoja na kipaji, nidhamu na furaha yakuwa kwenye timu hii”

Yanga jana imeibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhdi ya Simba katika Uwanja wa Mkapa yakifungwa na Kennedy  Musonda kipindi cha kwanza, Maxi Nzengeli akifunga mawili kipinid cha pili, Aziz KI na msumari wa mwisho ulipigwa dakika ya 87 kupitia kwa Pacome Zouzoua aliyefunga kwa mkwaju wa penalt baada ya Che Malone kumfanyia madhambi Nzengeli katika eneo la hatari.

Yanga jana ilirudi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kwa kishindo ikiandika historia kwa kuwachapa watani wao wa jadi, Simba mabao 5-1, lakini yakiwa ni malipo ya mwaka 2012 ambao Simba iliwachapa Yanga mabao 5-0.