Guardiola alia na ratiba EPL KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola ameikosoa vikali ratiba ya soka nchini England, akidai mashindano ya vikombe vya ndani yanaonekana kupewa kipaumbele zaidi kuliko ratiba za michuano ya...
Mo Dewji akomaa orodha ya mabilionea Afrika Mashariki, Motsepe apanda Mohammed Dewji anaendelea kuongoza katika orodha ya mabilionea wenye umri mdogo zaidi Afrika lakini pia ndiye anaongoza kwa utajiri katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
Azam yairudisha Yanga Benjamin Mkapa, yataja sababu Azam imethibitisha kwamba mchezo wake dhidi ya Yanga, Jumapili, Machi 15, 2026 utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex, Dar es Salaam.
Sancho anavyopuna pesa Man United JADON Sancho ameonekana kuwa kosa la gharama kubwa sana tangu aliposajiliwa na Manchester United.
Riyad Mahrez apuuza wakosoaji Algeria NAHODHA wa Algeria, Riyad Mahrez, amesema mabao mawili aliyofunga katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Sudan juzi usiku kwenye mechi ya Kundi E ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)...
Bruno, Mainoo kuikosa Newcastle KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema hatarajii kuona Bruno Fernandes wala Kobbie Mainoo wakicheza mechi ya leo ya Ligi Kuu England ya Boxing Day dhidi ya Newcastle kutokana na...
Hakimi freshi, yupo tayari kwa AFCON 2025 MCHEZAJI Bora wa Afrika na nyota wa Morocco, Achraf Hakimi, amesema amepona jeraha la kifundo cha mguu na yuko tayari kucheza katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inayoanza leo Jumapili.
Walid Regragui: Haikuwa rahisi kuifunga Comoro, tumejifunza kitu Kocha wa timu ya taifa ya Morocco, Walid Regragui, amesema mechi ya ufunguzi ya AFCON 2025 dhidi ya Comoro haikuwa rahisi kwa kikosi chake, lakini amefurahishwa na namna wachezaji walivyobadilika...
Victor Osimhen atuma ujumbe kwa mashabiki STRAIKA wa Nigeria, Victor Osimhen amesema Afcon 2025 ni sehemu mwakafa ya kuponyesha vidonda vyao na kuwapa mashabiki kile wanachostahili baada ya kushindwa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026.
Nathan Ake kutimkia Barcelona, Guardiola atajwa KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola anaripotiwa kuwa tayari kuisaidia klabu yake ya zamani, Barcelona, kwa kuidhinisha uhamisho wa nyota wa City, Nathan Ake kwenda kwa wababe hao.