Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8845 results for Mwandishi :

  1. Rio Ferdinand aipa ujanja Manchester United

    NGULI wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, ameishauri klabu hiyo kuweka nguvu kubwa katika usajili wa viungo wawili kwenye dirisha lijalo la majira ya joto, akisisitiza pia kuongeza...

    RIO Pict
  2. Dar City yaahidi makubwa BAL

    DAR City ikiwa katika maandalizi kwa ajili ya Ligi ya Kikapu Africa (BAL) 2026, meneja wa timu hiyo, Simon Joe amesema wanajipanga kufanya makubwa katika mashindano hayo wakilenga kutoa ushindani...

  3. Slot aomba ufafanuzi penalti ya Man United

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, ameitaka Ligi Kuu England kutoa ufafanuzi kuhusu kutokuwapo kwa uwiano katika maamuzi muhimu ya waamuzi, baada ya kulinganisha kadi nyekundu aliyoonyeshwa Maxence...

    SLOT Pict
  4. Ukizungumza kwa kujiziba mdomo uwanjani, nyekundu

    RAIS wa FIFA, Gianni Infantino, amefichua kuwa wachezaji wanaweza kutolewa nje kwa kadi nyekundu endapo watainua jezi zao na kufunika midomo wanapozungumza na wachezaji wa timu pinzani.

    NYEKUNDU Pict
  5. Beki Arsenal adai kuna presha ya ubingwa

    BEKI wa boli, Jurrien Timber amekiri kuwa wachezaji wa Arsenal wanaweza kuhisi hali ya wasiwasi ndani ya Uwanja wa Emirates wakati mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England zikiingia kwenye hatua muhimu.

  6. Eden ataja mchezaji bora aliyecheza naye

    NGULI wa Chelsea, Eden Hazard, amewashangaza wengi baada ya kuwapuuza baadhi ya mastaa wakubwa wa zamani wa klabu hiyo alipomtaja mchezaji bora zaidi waliyewahi kucheza.

  7. Julio ashtuka, aomba mechi za kirafiki

    JAMHURI Kihwelo ‘Julio’ baada ya kuiongoza Mashujaa katika mechi mbili akiwa kocha mkuu akishinda zote ikiwamo dhidi ya Mtibwa Sugar Ligi Kuu na ile ya Kombe la Shirikisho mbele ya Nkim...

  8. Kocha wa viungo Morocco afichua maumivu aliyopitia Brahim Diaz

    Kocha wa viungo wa timu ya taifa ya Morocco, Eduardo Dominguez, amefunguka kuhusu athari za kihisia alizopitia nyota wa timu hiyo, Brahim Diaz, baada ya kukosa penalti katika mechi ya fainali ya...

    DIAZ Pict
  9. Kundemba, Vuga ngoma droo Masauni & Seif Cup

    TIMU za Kundemba na Vuga zimeanza kwa suluhu katika mechi ya uzinduzi wa michuano maalumu ya Masauni & Seif Cup iliyoanza juzi kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja, mjini Unguja, ikishirikisha jumla...

  10. Mpishi amfungulia kesi Neymar

    SUPASTAA, Neymar anakabiliwa na kesi ya kisheria kutoka kwa mpishi wake binafsi ambaye anadai fidia ya fedha baada ya kulazimishwa kufanya kazi hadi saa 16 kwa siku na wakati mwingine kupika...

    MPISHI Pict
Previous

Page 396 of 885

Next