Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

477 results for Ibrahim Mussa :

  1. USAJILI MPYA SIMBA NOMA

    SIMBA sasa imetega macho yake katika tiketi mbili za mashindano ya kimataifa ambazo zipo mbele yao na ikitokea tu wakajihakikishia ushiriki wa mashindano hayo, watafanya usajili kabambe.

  2. VIDEO: Taifa Stars yaichapa Burundi

    Taifa Stars imeendeleza makali yake chini ya kocha Salum Mayanga baada ya kuifunga Burundi kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

  3. Simba kugongwa 2-0? Haiwezekani!

    ACHANA na Amissi Tambwe kuonekana ndiye mchezaji anayeiliza Simba katika miaka ya karibuni, lakini ukweli ni kwamba Simba haijawahi kushinda mechi yoyote dhidi ya Yanga katika pambano...

  4. Yanga yala vichwa simba

    KAMA usajili wa Simba ukikamilika freshi kwenye siku ya mwisho leo Alhamisi, inamaanisha kuwa inaweza kuwa na mabadiliko ya wachezaji wanne hadi watano katika kikosi cha kwanza kilichocheza dhidi...

  5. Simba yamshushia Mkude Mido Mghana

    SIMBA jana ilitarajia kushusha kiungo mkabaji kutoka Ghana, James Agyekhum Kotei kwa ajili ya mazungumzo ya mwisho na kumpa mkataba. Kiungo huyo maarufu kama Lampard nchini Ghana lazima ameletwa...

  6. JICHO LA MWEWE: Yanga wanajitekenya na kucheka wenyewe

    WATU wengine wanalipwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya kutoa ushauri tu. Watu wengine tunashauri burebure tu, hatulipwi. Na leo naweza kufanya kazi nyigine ya bure ya kumshauri kocha aliyefukuzwa...

  7. Hata Rais Trump atamuonea huruma Mkwasa

    DONALD Trump. Mtu mmoja mwenye roho ya chuma. Mtu mmoja mwenye moyo wa uvumilivu na asiyekata tamaa. Akitaka kitu lazima akipate. Ameutaka urais wa Marekani na akaupata, licha ya kukatishwa tamaa...

  8. WABISHI: Wazawa walioamua kukomaa

    NANI alikuwa akijua kuwa mgombea wa Republican, Donald Trump angeshinda kiti cha urais wa Marekani katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika wiki iliyopita? Hakuna aliyekuwa akimpa nafasi kutokana na sera...

  9. MEZA YA UFUNDI: Tunahitaji sura mpya zaidi Taifa Stars

    TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inajiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe, The Mighty Warriors’ kesho Jumapili mjini Harare, ambao unaotambuliwa na kalenda ya...

  10. Gia ya MO yamzidi maarifa Manji

    SIMBA haiko vizuri kiuchumi kama watani zao Yanga, lakini imejidhatiti katika maeneo kadhaa ambayo yameanza kuwaweka Yanga tumbo joto hasa bosi wao Yusuf Manji ambaye amekuwa akidai kuwa Simba...

Previous

Page 40 of 48

Next