Rogath Akhwari atoa ahadi nzito RT SIKU chache kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Riadha nchini (RT), mgombea wa nafasi ua Urais, Rogath Akhwari ametoa ahadi nzito kwa kusema moja ya sababu zilizomfanya awanie...
Mshahara wa Sesko, Gyokeres wajadiliwa STRAIKA, Benjamin Sesko analipwa mshahara kiduchu kwenye Ligi Kuu England kuliko anavyolipwa mpachika mabao mwenzake mpya katika ligi hiyo, Viktor Gyokeres baada ya kugomea ofa za kwenda kujiunga...
Malijendi wakoshwa na kiwango CHAN MASHINDANO ya msimu huu ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN 2024) yametajwa kuwa bora zaidi kiushindani na wajumbe wa masuala ya kiufundi ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF TSG) na...
Ishu ya ubaguzi, Semenyo apendekeza adhabu STAA wa Bournemouth, Antoine Semenyo amesema anaamini hukumu ya kifungo cha jela inaweza kuwa adhabu sahihi kabisa kwa wanaoendekeza ubaguzi wa rangi kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
Shujaa wa Liverpool aingia anga la Rooney KINDA wa Liverpool, Rio Ngumoha amefuata nyayo za Wayne Rooney kuibeba timu yake wakati akiwa na umri mdogo alipofunga bao dakika ya 100 kusaidia ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle United...
Kuna timu hii ya bure kabisa WAKATI dirisha la usajili likielekea ukingoni, klabu za Ligi Kuu England hazina woga kufungua pochi ili kunasa mastaa wapya.
Tanzania ya pili Kombe la Dunia la vijana wa mazingira magumu Timu ya Tanzania ya Wanawake kutoka kituo cha Future Stars Academy cha jijini Arusha, imeshika nafasi ya pili katika michuano ya vijana wanaotoka kwenye mazingira magumu (Homeless World Cup)...
Man United yaongeza mzigo kwa Mbeumo MANCHESTER United inapanga kutuma ofa mpya kwenda Brentford kwa ajili ya straika wa timu hiyo Bryan Mbeumo baada ya ile ya kwanza ya Pauni 55 milioni kukataliwa.
Sancho afunguka kusepa Chelsea, Wasaudia watajwa SUPASTAA wa England, Jadon Sancho amezungumzia kuhusu kuondoka kwake Chelsea baada ya timu hiyo kuilipa Manchester United Pauni 5 milioni ili kutomsainisha mkataba wa kudumu, huku taarifa...
Chelsea, Gittens bado kidogo CHELSEA imefikia hatua nzuri ya kumsajili nyota wa Borussia Dortmund, Jamie Gittens ambaye atakuwa mchezaji wao wa tano dirisha hili la usajili la majira ya kiangazi, ikiwa ni katika harakati za...