Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9795 results for Mwandishi :

  1. Man United yamvutia kasi Valverde kumrithi Casemiro

    MANCHESTER United inaripotiwa kuangalia uwezekano wa kufanya uhamisho wa kushangaza wa kiungo wa Real Madrid, Federico Valverde, ambaye anaonekana kuwekwa kando katika kikosi hicho cha Hispania...

  2. Fiston Mayele atajwa kikosi cha Kombe la Dunia 2026

    Mshambuliaji Fiston Mayele ameandika historia mpya baada ya kujumuishwa katika kikosi cha mwisho cha timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo) kitakachoshiriki michuano ya...

    MAYELE Pict
  3. Casèmiro amaliza minong’ono, kutua Inter Miami

    KIUNGO wa kati wa Manchester United, Casemiro, amefikia makubaliano binafsi ya kujiunga na klabu ya Inter Miami inayoshirikishi Ligi Kuu ya Marekami (MLS).

    CASEMIRO Pict
  4. Frank Sanchez afichua alivyomvunja pua Jake Paul mazoezini

    Bondia wa uzito wa juu kutoka Cuba, Frank Sanchez, amefichua kuwa alimjeruhi vibaya pua nyota wa YouTube aliyebobea kwenye ngumi, Jake Paul, wakati wa mazoezi ya ulingoni na kusababisha afukuzwe...

    SANCHEZ Pict
  5. Messi afuata nyayo za Ronaldo, anunua klabu Hispania

    MSHAMBULIAJI wa zamani wa Barcelona, Lionel Messi, ameanza rasmi safari ya uwekezaji katika soka kwa kununua asilimia 100 ya klabu ya daraja la tano nchini Hispania, UE Cornella, iliyopo umbali...

    MESSI Pict
  6. Chelsea kumweka sokoni Garnacho, sababu yatajwa

    CHELSEA wapo tayari kumuuza winga Alejandro Garnacho msimu huu wa majira ya joto, kwa mujibu wa talkSPORT, ambapo uongozi wa klabu umetambua kuwa usajili wake wa Pauni 40 milioni haujaenda kama...

    GENACHO Pict
  7. Bosi Bayern afunguka ishu ya Kane kutua Barca

    MKURUGENZI wa michezo wa Bayern Munich, Max Eberl, ameatoa taarifa ya kutatanisha kuhusu mustakabali wa Harry Kane, akisema mshambuliaji huyo “anajua kabisa anachotaka”.

    KANE Pict
  8. Kocha Liverpool agomea tuzo

    KIPIGO cha mabao 3-0 ilichopata Liverpool kutoka kwa Nottingham Forest mechi ya Ligi Kuu England, Jumamosi iliyopita, kimemvuruga kocha wa majogoo hao, Andre Slot na kuzisusia tuzo zilizokuwa...

    SLOT Pict
  9. Liverpool yapigwa tena nyumbani, Arne Slot hatarini

    Mwendo mbaya wa Liverpool msimu huu umeendelea baada ya kupokea kipigo cha aibu kutoka kwa PSV Eindhoven kwenye Uwanja wa Anfield, katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezwa usiku wa...

  10. Kylian Mbappe apiga nne Real Madrid ikiichapa Olympiacos 4-3

    Kylian Mbappe amefunga mabao manne na kuiwezesha Real Madrid kushinda dhidi ya Olympiacos katika Ligi ya Mabingwa, mechi ikichezwa Stadio Georgios Karaiskáki nchini Ugiriki, usiku wa Novemba 26...

Previous

Page 370 of 980

Next