ZA NDAANI KABISAA: Molinga, Chirwa kupigwa chini HAKUNA namna, wajiandae tu. Ndio, washambuliaji wa zamani wa Yanga wanaokipiga Namungo kwa sasa, David Molinga ‘Falcao’ na Obrey Chirwa ni miongoni mwa wachezaji watakaotemwa na timu hiyo...
Hichi ndicho kikosi cha Thank You FC LIGI Kuu Bara imemalizika wiki mbili zilizopita na kushuhudiwa Yanga ikitetea taji kabla ya kubeba pia Kombe la ASFC, lakini kwa sasa mashabiki wanapata burudani nyingine kutokana na kuwepo kwa...
ZILITRENDI: Yanga yamponza Kado KATIKA tarehe kama ya leo ya Machi 24, mwaka 2008 iliripotiwa stori juu ya kipa Shaaban Kado aliyekuwa akiidakia Moro United kuingia matatani na kusimamishwa na timu yake kutokana na mabao mawili...
CAF yazuia mipira ya Yanga kwa muda Dakika chache kabla ya timu kuingia kupasha misuli Yanga imejikuta katika presha baada ya Afisa wa Shirikisho la Soka Afrika CAF kuzuia mipira ya timu wenyeji. Iko hivi wakati mashabiki...
Amana na malipo ya haraka zaidi Slotpesa ni kasino ya mtandaoni ambayo unaweza kupata zaidi ya kile unachohitaji kutoka kwenye; Slots, Keno, Roulette, michezo ya moja kwa moja na ya mtandaoni! Na zaidi ya michezo 5000 kutoka...
Stamina, Twanga, Mashauzi kupamba tamasha la biriani Dar es Salaam. Bendi ya African Stars (Twanga Pepeta) na mwanamuziki nyota wa taarab Isha Mashauzi watapamba tamasha la Biriani liliandaliwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola kwanza...
Kipa Mrundi aibukia Yanga YANGA imeendelea kujifua kwenye Uwanja wa Avic Town, Kigamboni, jijini Dar es Salaam kwaajili ya mechi zijazo ikiwemo ya Ligi Kuu dhidi ya Azam FC itakayochezwa Oktoba 25 mwaka huu huku kipa...
Simba yaanza na makocha SIMBA imeanza mipango ya msimu ujao ikitaka kuboresha kila eneo ili kuhakikisha inarejea kwenye makali yake na kwa kuanzia itafanya maboresho kwenye benchi lake la ufundi kwa kuondoa baadhi ya...
Uwanja wa Mkapa bado siku tano Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amekagua maendeleo ya ukarabati ya awamu ya kwanza yanayoendelea katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar na kusema umefikia asilimia 95 na...
Kaze aleta fundi mwingine Yanga KOCHA wa Yanga, Mrundi Cedrick Kaze jana aliwafanyia usaili makocha wanne wazawa, ili kupata mrithi wa Juma Mwambusi aliyeng’oka Jangwani. Mwambusi inaelezwa kwamba ameomba kukaa pembeni...