UBISHI WA MZEE WA KALIUA: GSM na matajiri wengine waheshimiwe NILIWATAZAMA Yanga wakiwasambaratisha KMC kule Songea nikakumbuka kisa fulani. Nitakueleza ni kisa gani hivi punde. Niliwatazama tena wakiwasambaratisha Azam pale kwa Mkapa kwa soka safi la...
Yanga, Azam ya sura mpya hivyo ni uamuzi wa kocha kuamua kumpanga au kuto kumpanga. Mchezaji mwenye uhakika wa kuanza kwenye mchezo huo ni Idd Seleman ‘Nado’ kutokana na ubora wake ndani ya timu hiyo wakati Ayub Lyanga...
Sasa Yanga ishindwe yenyewe na beki wa zamani wa timu hiyo, Oscar Joshua aliyesisitiza “Ukiangali viungo wakabaji kuna Mukoko, Mauya na Aucho wote ni wachezaji wenye uwezo wa juu, jambo ambalo Simba kwa sasa halipo...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Simba, Biashara wametuonyesha safari tuliyonayo kufika nchi ya ahadi KUNA mambo yanakera sana. Yanakera sana. Unapopata hisia kwamba tumepiga hatua moja mbele kuelekea katika mwelekeo sahihi, ghafla linatokea tukio la ajabu la kukuvunja moyo linaonyesha kwamba...
Simba wavunja ukimya kutimuliwa Gomes ndani ya klabu hiyo akiwamo Mohammed 'Mo' Dewji na Magori kupitia mitandao ya kijamii wali-twiti kuhusu mchezo huo huku baadhi wakiandika kana kwamba kuna dalili za hujuma, Mangungu...
Ngushi tena kuwavaa Dodoma Jiji Huu ni mchezo wa kwanza kwa Mbeya Kwanza kucheza nyumbani baada ya kucheza mechi mbili ugenini na kukusanya alama nne.
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kuna Dullah Mbabe na Abdalla Pazi ILIKUWA wiki nyingine ngumu kwa bondia Abdallah Iddi Pazi, yeye mwenyewe anajiita ‘Rais wa Wazaramo’ sisi tunamfahamu zaidi kama Dullah Mbabe. Mabondia wote korofi duniani wanamiliki majina...
Kisa bao moja... Mastaa wataka Yacouba aanze MASTAA wa zamani wa Yanga, Malimi Busungu na Said Bahanunzi wamesema kwa kile alichokionyesha straika wa timu hiyo, Yacouba Sogne msimu ulioisha, aliomaliza na mabao nane ni mtaji kuwa na mtu wa...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Umemuona Dk Khalid Aucho? VUTA picha mbili kichwani mwako. Ya kwanza, fikiria upo mwenyewe unakatiza katika uchochoro wa kutisha usiku wa manane, lazima utakuwa unatetemeka, pengine na jasho litakuwa linakutoka kwa hofu...
Bangala noma! awapa mtihani mastaa 9 Yanga nitamfanyia kazi yake vizuri. Nafasi ambazo zimenishinda ni straika na kipa, ingawa naweza kufunga vilevile.” Yanga ilimsajili Bangala kutoka AS Vita ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili na...