Ronaldo aendeleza moto, Ureno ikiweka rekodi mpya Mabingwa hao wameongeza taji la tatu la kimataifa kwenye kabati lao, ikiwa ni pamoja na ubingwa wa EURO 2016.
Diogo Jota afariki kwa ajali, gari lawaka moto NYOTA wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota, ameripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari ikiwa ni siku 10 tu tangu afunge ndoa.
Kisa dili, Gyokeres aacha mchumba wake INAELEZWA straika wa Sporting Lisbon anayewindwa na Arsenal na Manchester United, Viktor Gyokeres ameachana na mpenzi wake raia wa Ureno, Ines Aguiar, hivi karibuni na sababu ikitajwa kuwa ni...
Gyokeres ahofia dili la Arsenal kuvunjika STRAIKA Viktor Gyokeres atafikiria uamuzi wa mkopo kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi endapo kama Sporting na Arsenal zitashindwa kufikia makubaliano juu ya ada ya uhamisho.
Nunez kuipa hasara Liverpool LIVERPOOL huenda ikapoteza takribani Pauni 15 milioni dirisha hili ikiwa itamuuza mshambuliaji wao wa kimataifa wa Uruguay, Darwin Nunez.
Kwa mziki huu wa Spurs, mtakoma TOTTENHAM Hotspur sasa imewasha moto dirisha hili la usajili, ikinyakua huduma ya winga wa West Ham United, Mohammed Kudus kwa Pauni 55 milioni na sasa inakaribia kwenye kunyakua saini ya kiungo...
Amorim amrudisha Garnacho kundini KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amejiweka kwenye hatari ya kutibuana na Marcus Rashford zaidi baada ya kuripotiwa kumruhusu Alejandro Garnacho kufanya mazoezi na wenzake huko Carrington...
Isaak ni mashine ya hela LIVERPOOL ipo tayari kuvunja rekodi ya Uingereza kwenye uhamisho wa wanasoka kwa kumnasa straika wa Newcastle United na Sweden, Alexander Isak.
Usyk, Dubois kumaliza ubishi Wembley SIKU zinawadia. Uwanja wa Wembley, jijini London, unatarajiwa kuwa kitovu cha dunia ya ngumi Julai 19, 2025, wakati mabondia wakubwa Oleksandr Usyk na Daniel Dubois watakapoingia ulingoni kwa...
Noni Madueke ni mshika bunduki KUWAKABILI Arsenal msimu ujao mjipange. Ndicho unachoweza kusema baada ya kocha Mikel Arteta kushusha mashine nyingine matata kabisa kwenye kikosi chake baada ya kumnasa winga wa Chelsea, Noni...