Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9785 results for Mwandishi :

  1. Tiketi ya UEFA kumpa Casemiro pesa ndefu

    KIUNGO wa Kibrazili, Casemiro anajiandaa kupokea nyongeza kubwa kwenye mshahara wake endapo kama Manchester United itanyakua ubingwa wa Europa League na kukamatia tiketi ya kucheza Ligi ya...

    CASEMIRO Pict
  2. Slot aambiwa anase watatu

    GWIJI wa Ligi Kuu England, Roy Keane amesema Liverpool inahitaji kufanya usajili wa wachezaji watatu kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi kama watahitaji kutetea ubingwa wao wa...

    ARNE Pict
  3. Guardiola kula za kichwa kwa Wirtz

    MANCHESTER City imepata pigo kwenye mpango wao wa kumsajili Florian Wirtz - ambaye wanadhani ni mrithi sahihi wa Kevin de Bruyne - baada ya mkali huyo kudai anataka kujiunga na Bayern Munich...

  4. Refa wa Inter Milan V Barca atoa majibu

    REFA wa Poland, Szymon Marciniak amejibu tuhuma za kwamba amewazuia Barcelona kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuwabana kwenye baadhi ya matukio katika kipute cha nusu fainali dhidi...

    REFA Pict
  5. Amorim asema jambo kuhusu Gyokeres

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, ametoa maoni yake kuhusu uwezekano wa kumsajili Viktor Gyokeres katika majira ya kiangazi, akisisitiza kwamba staa huyo huenda asijiunge nao.

    AMORIM Pict
  6. Guardiola afunguka kusepa Man City

    PEP Guardiola amefunguka kwamba atang'oka kwenye soka kwenda kumpumzika baada ya kuachana na Manchester City, lakini ameweka kando mpango wa kustaafu kazi yake ya ukocha.

  7. Fountain yagomea mechi baada ya kuchapwa 3-0 kipindi cha kwanza

    MCHEZO wa Ligi Kuu Soka Wanawake kati ya JKT Queens dhidi ya Fountain Gate Princess uliofanyika leo Jumamosi Mei 17,2025 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, umeshindwa kuendelea kipindi...

  8. Bellingham kupasuliwa bega

    NYOTA wa Real Madrid, Jude Bellingham anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa bega baada ya mashindano ya Kombe la Dunia la Klabu, hatua ambayo huenda ikamweka nje ya uwanja kwa miezi kadhaa.

  9. Harry Kane afunguka, autaja ubingwa Bundesliga

    STRAIKA wa Bayen Munich, Harry Kane ambaye amenyanyua taji lake la kwanza katika soka la kiushindani wikiendi iliyopita baada ya Bayern kukabidhiwa kombe lao la Ligi Kuu England amesema taji...

    KANE Pict
  10. Man United yafuta sherehe za tuzo

    MANCHESTER United imefuta sherehe za mwisho wa msimu za kupeana tuzo pamoja na kupata mlo wa pamoja baada ya timu hiyo kufanya vibaya kwenye Ligi Kuu England.

Previous

Page 346 of 979

Next