PRIME Mayele ni rekodi juu ya rekodi Misri Oktoba 3, 2024, Fiston Mayele alipiga pasi mbili za mwisho dhidi ya El Dakhlia ambazo zilichangia kuiwezesha Pyramids FC kupata ushindi wa mabao 2-0 na zikamfanya afikie rekodi moja tamu kwenye...
Man United yaweka mambo hadharani kuhusu Ten Hag MANCHESTER UNITED imefichua ni kiasi gani ilichotumia kama fidia ya kumfukuza Erik ten Hag na Dan Ashworth huku deni lao likifikia Pauni 1 bilioni.
Rio Ferdinand kasema... Man United inashuka RIO Ferdinand amefichua wasiwasi wake huenda Manchester United isipate ushindi wowote tena kwenye mechi zilizobaki kwenye Ligi Kuu England msimu huu.
Saka mzuka, Martinelli freshi Arteta apata matumaini KOCHA, Mikel Arteta amepata mzuka baada ya kupata matumaini Bukayo Saka na Gabriel Martinelli watarejea kwenye kikosi chake cha Arsenal baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa.
Arsenal kumpata Isak ichimbe kwelikweli ARSENAL imekwaa kisiki kwenye matumaini yao ya kumfanya Alexander Isak kuwa Namba 9 wao mpya.
Rekodi za Amorim zashtua Man United HAKUNA kocha wa Manchester United aliyevuna pointi chache kumzidi Ruben Amorim baada ya mechi 14 za Ligi Kuu England tangu Sir Alex Ferguson alipong'atuka kwenye kikosi hicho cha Old Trafford.
Onana awatibua Rio, Robbie Savage Magwiji wa soka la Ulaya Rio Ferdinand na Robbie Savage wamemponda kipa wa Man United, Andre Onana na kusema hakuwa na mawasiliano mazuri na Patrick Dorgu wakati Ipswich Town ikifunga bao la...
Simba kuwajibika kung’olewa viti kwa Mkapa Vurugu ziliibuka jana Desemba 15, 2024 katika mechi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baina ya Simba dhidi ya CS Sfaxien, ambapo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Gor Mahia yapasuka tena KPL BAO la mkwaju wa penalti iliyopigwa katika dakika ya sita ya pambano la Ligi Kuu ya Kenya, limewazamisha watetezi wa ligi hiyo, Gor Mahiakwa mara nyingine tena ikicheza nyumbani dhidi ya Bidco...
Pep apishana na Gundogan KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola alionekana kutokubaliana na tathmini ya kiungo wake Ilkay Gundogan kuhusu kichapo cha 2-0 kilichowakumba juzi, kutoka kwa Juventus katika Ligi ya Mabingwa.