Ishu ya Mukoko iko hivi BAADA ya kiungo Mukoko Tonombe kuchomolea mpango wa uongozi wa Yanga wa kumpeleka kwa mkopo TP Mazembe ikiwa ni sehemu ya mabadilishano na winga, Chico Ushindi na kisha bosi wa GSM, Ghalib Said...
Chama: Mtajua hamjui BAADA ya kelele nyiingi. Mwamba katua Msimbazi. Simba imemtambulisha na kumshusha rasmi Jijini Dar es Salaam kipenzi cha mashabiki, Clatous Chota Chama.
Mnigeria anakula mkataba Simba INGAWA mabosi wa Simba wanakuna vichwa juu ya uamuzi wa kumsajili kiungo, Mnigeria Udoh Etop aliyepo kwenye majaribio lakini kuna kila dalili kwamba zali litamuangukia baada ya viongozi kumkosa...
Kiungo Mnigeria aigawa Simba SOKA lililopigwa na kiungo Mnigeria, Etop Udoh, umewagawa mabosi wa klabu hiyo baadhi wakitaka asajiliwe na wengine wakitaka maamuzi ya mwisho yawe ya kocha aliyenaye kwa sasa kambini akimfanyia...
Sure Boy , acha maisha yaendelee MIONGONI mwa usajili bora uliowavutia mashabiki wa Yanga dirisha dogo msimu huu ni kusajiliwa kwa kiungo wa Azam, Salum Abubakar ‘Sure Boy’. Kiungo huyo fundi amesajiliwa na Yanga baada ya...
Simba ina sapraizi yenu, Barbara afunguka MASHABIKI wa Yanga wamekuwa wakitamba sana mitaani na mitandaoni, kwamba msimu huu chama lao,ndilo litakalobeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara, lakini mabosi wa Simba wamejibu kimtindo kwa kuwaambia;
Pablo: Simba hii unapigwa nyingi SIMBA imepania. Inalitaka hili Kombe la Mapinduzi kutoka kwa mabingwa watetezi Yanga na katika kuthibitisha hilo, imeleta watu kwa ajili ya kuiongezea nguvu timu akiwamo winga wa kushoto kutoka...
Simba ni Banda tu! KIKOSI cha Simba kinaondoka asubuhi ya leo kwenda Zanzibar kikiwa kamili gado isipokuwa winga wake, Mmalawi, Peter Banda aliyepo kwenye majukumu ya timu yake ya taifa ya Malawi inayoshiriki...
Simba watimkia Zanzibar bila Morrison, Onyango... WASHINDI wa pili kwenye kombe la Mapinduzi Zanzibar Simba wameondoka Dar es Salaam saa 3:30 asubuhi ya leo, kuelekea mashindano hayo yaliyoanza jana (Jumapili), katika Uwanja wa Aman.
Nabi: Sure Boy atacheza hapa wakitaka kusajili jina moja la staa wa kigeni dirisha dogo. (IMEANDIKWA NA KHATIMU NAHEKA, THOBIAS SEBASTIAN NA OLIPA ASSA)