Ramovic afunguka kilichomkwamisha Ikanga Speed Kikosi cha Yanga juzi kilishuka uwanjani na kuifumua Copco kwa mabao 5-0 katika mechi ya Kombe la Shirikisho, huku mashabiki wakiachwa njia panda baada ya kumkosa uwanjani winga wao mpya Jonathan...
Duh! Havertz naye majeruhi ARSENAL majanga yanaendelea kuikumba timu yao baada ya straika wao Kai Havertz kuumia wakati wakiwa kwenye mazoezini huko Dubai.
EPL yashtua kufuta ujumbe unaomhusu Slot LIGI Kuu England imeibua mkanganyiko baada ya kufuta baadhi ya maneno yaliyopo kwenye taarifa yao rasmi iliyopo kwenye mtandao wao inayobainisha Kocha wa Liverpool, Arne Slot atakabiliwa na...
Amorim afunguka kuuza mastaa United KOCHA, Ruben Amorim amekiri kwamba ataendelea kuuza mastaa wake ili apate pesa ya kusajili wengine huku hilo likituma ujumbe wa wazi namna Manchester United ilivyotikisika kiuchumi.
Salah mwaka mmoja freshi tu SUPASTAA, Mohamed Salah amefungua milango ya kuongeza mwaka mmoja kwenye mkataba wake huko Liverpool – licha ya klabu hiyo kumvuruga kwa kushindwa kumalizana haraka juu ya jambo hilo.
Arsenal vs Manchester United ni mechi ya wanaume MABINGWA watetezi wa Kombe la FA, Manchester United itakipiga na Arsenal baada ya vigogo hao wa Ligi Kuu England kupangwa kumenyana kwenye mechi ya raundi ya tatu ya Kombe la FA baada ya droo...
Rashford ataka kushinda taji la Ulaya Villa Park Rashford amefunga mabao 12 na kuasisti mara tatu katika mechi 33 alizochezea Man United kwenye michuano ya Ulaya. Na sasa huko Villa Park, Rashford atakwenda kuungana na Marco Asensio, ambaye...
Yorke: Palmer? Ni Liverpool tu GWIJI wa Ligi Kuu England, Dwight Yorke amesema Cole Palmer atataka kuhama Chelsea endapo itashindwa kumaliza Top Four kwenye Ligi Kuu England msimu huu - lakini anachokiona ni Mwingereza huyo...
Kanuni yaiweka pabaya USM Alger Wakati Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) likisubiriwa kutoa uamuzi wa mechi iliyoshindwa kuchezwa ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya USM Alger na RS Berkane, kanuni za...