Huyu Haaland hata Ronaldo chamtoto STRAIKA, Erling Haaland ameandika historia ya kibabe kabisa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya ambayo hata supastaa Cristiano Ronaldo hakuwahi kuifikia baada ya kufunga dhidi ya Borussia Dortmund...
Isak, Gyokeres wamponza kocha wa Sweeden SWEDEN imemfuta kazi kocha Jon Dahl Tomasson baada ya timu ya taifa kuwa na matokeo mabaya.
PRIME Hersi, Arafat waachiwa msala hatima ya Folz Yanga PRESHA iliyopo ndani ya Yanga hivi sasa, inamfanya kocha mkuu wa kikosi hicho, Romain Folz kusikilizia hatima yake ndani ya timu hiyo. Hali hiyo imekuja kufuatia kundi kubwa la mashabiki...
Gyokeres apiga mbili, Arsenal ikiichapa Atletico 4-0 ARSENAL imefunga mabao manne ndani ya dakika 14 pekee ilipoichapa Atletico Madrid 4-0 na kuendeleza mwanzo wao mzuri katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi ikichezwa usiku wa...
Doue ang’ara PSG ikishinda saba kwa Leverkusen Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain wametoa onyo kali baada ya kuibamiza Bayer Leverkusen mabao 2-7 na kufikisha ushindi wa tatu mfululizo katika michuano hiyo.
Kane huyu siyo yule wa zamani STRAIKA Harry Kane amekuwa gumzo na kuwafanya watu waamini anaweza kubadili nafasi yake ya kucheza ndani ya uwanja na kisha akawasha moto baada ya kile alichokifanya dhidi ya Borussia Dortmund.
Kocha Liverpool afichua kilichomsibu Alexander Isak Kocha wa Liverpool, Arne Slot amefichua sababu za mshambuliaji Alexander Isak kushindwa kuendelea na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Eintracht Frankfurt ya Ujerumani iliyokubali kipigi...
Flick asema tena kuhusu Marcus Rashford KOCHA wa Barcelona, Hans Flick amesisitiza Marcus Rashford ni mchezaji muhimu sana katika mipango yake na siku hadi siku atazidi kuimarika na kuwa bora zaidi.
Kikosi bora cha kulipwa hiki hapa MASTAA wawili wa England, Jude Bellingham na Cole Palmer wametajwa kwenye Kikosi Bora cha Wanasoka wa Kulipwa Cha Mwaka 2025 (2025 Fifpro World Best XI).
Guardiola: Hawa Arsenal wana balaa KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amekiri kwamba Arsenal haikamatiki kwa sasa wakati chama hilo la Mikel Arteta likiweka pengo la pointi sita kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu England.