Chelsea yamtaka John Stones CHELSEA imeingia katika mbio za kumsajili beki wa kimataifa wa England, John Stones, kwa uhamisho wa bure baada ya mkataba wake na Manchester City kumalizika mwishoni mwa Juni.
Amrouche, Dube wataja sifa tano zitakazombeba Mtasingwa Kaizer Chiefs KOCHA wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Adel Amrouche mwenye uraia wa Ubelgiji huku akiwa na asili ya Algeria, amemfananisha kiungo mpya wa Kaizer Chiefs, Adolf Mtasingwa Bitegeko, na...
Iraola: Mac Allister, Alisson hawauzwi KOCHA wa Liverpool, Andoni Iraola, amesema hana mpango wa kuwauza kiungo Alexis Mac Allister na kipa Alisson Becker, akisisitiza kuwa anataka kuwabakisha nyota wake muhimu kuelekea msimu wa 2026-27.
Al-Hilal yamnasa Summerville kwa Sh200 Bilioni KLABU ya Al-Hilal ya Saudi Arabia imefikia makubaliano na West Ham United ya kumsajili winga wa kimataifa wa Uholanzi, Crysencio Summerville, kwa ada ya jumla ya Pauni 60 milioni (sawa na Sh200...
Rais wa LaLiga amtaka Infantino ajiuzulu RAIS wa LaLiga, Javier Tebas, amemtaka rais wa FIFA, Gianni Infantino, kujiuzulu, akidai uongozi wake unaharibu tasnia ya soka kwa uamuzi yanayoweka maslahi ya mashindano ya Kombe la Dunia mbele...
Argentina waota Messi mwingine Kombe la Dunia 2030 MUSTAKABALI wa Lionel Messi unaendelea kuwa gumzo kubwa katika ulimwengu wa soka, lakini sasa mashabiki wa Argentina wameibua ndoto mpya inayomhusu nahodha huyo na mwanawe mkubwa, Thiago Messi.
Vinicius Jr, afanyiwa upasuaji kurekebisha kidevu Nyota wa Real Madrid na Brazil, Vinicius Jr amefanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo la kidevu ikiwa ni wiki chache baada ya Brazil kuondolewa kwenye fainali za Kombe la Dunia.
Mokwena aanza na mrithi wa Mayele Pyramids INARIPOTIWA kuwa, kocha Rulani Mokwena ameanza kwa kasi harakati za kusaka mshambuliaji katika kikosi chake cha Pyramids FC, kufuatia kuondoka kwa mshambuliaji tegemeo, Fiston Mayele.
Folz afichua sababu za kumvuta Skudu Tunisia KOCHA wa zamani wa Yanga, Romain Folz, ametaja sababu zilizomfanya amteue raia wa Afrika Kusini, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’, kuwa sehemu ya benchi lake la ufundi katika klabu ya US Monastir ya...
Simba Day 2026 kufanyika Uwanja wa Uhuru Agosti 8 Klabu ya Simba imetangaza kuwa kilele cha tamasha la Simba Day 2026 kitafanyika Agosti 8, 2026 katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, huku kikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 90 tangu...