Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8441 results for Mwandishi Wetu :

  1. FBI yachunguza simu ya Rais wa Argentina

    RAIS wa Shirikisho la Soka Argentina (AFA), Claudio "Chiqui" Tapia, anadaiwa kushikiliwa kwa muda na maafisa wa FBI kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JFK, New York, muda mfupi kabla ya...

    RAIS Pict
  2. Saliba kuikosa Arsenal kwa muda mrefu

    ARSENAL imethibitisha kuwa beki wake tegemeo William Saliba atakosekana uwanjani kwa muda mrefu baada ya kupata jeraha la mgongo alipokuwa akiitumikia Ufaransa kwenye Kombe la Dunia.

    SALIBA Pict
  3. Casemiro azua janga Inter Miami 

    UONGOZI wa Ligi Kuu ya Soka Marekani (MLS) imeanzisha uchunguzi dhidi ya Inter Miami kufuatia madai ya kukiuka taratibu za usajili baada ya kumsajili kiungo wa Brazil, Casemiro.

    CASEMIRO Pict
  4. Mateso kwa Mikel Arteta

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amekumbana na changamoto kubwa kufuatia baadhi ya wachezaji wake muhimu kurejea kutoka Kombe la Dunia wakiwa na majeraha na uchovu mkubwa.

    MATESO Pict
  5. Mwisho wa mechi 831 za Anthony Taylor

    MWAMUZI mashuhuri wa Ligi Kuu England (Premier League), Anthony Taylor, ametangaza kustaafu rasmi kazi ya uamuzi, siku chache baada ya kumalizika kwa Kombe la Dunia 2026.

    TAYLER Pict
  6. Mastaa 15 watakaotikisa dirisha la usajili

    KOMBE la Dunia 2026 limehitimishwa, lakini sasa vita vinahamia kwenye dirisha la usajili, huku klabu zikianza kufuatilia kwa karibu nyota walioangaza nchini Marekani, Canada na Mexico.

    MASTAA Pict
  7. Mtasingwa Adolf usajili wa bilioni

    UHAMISHO wa kujiunga na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Dola 500,000 (Sh1.3 bilioni) kutoka Azam FC unamfanya kiungo Adolf Mtasingwa sasa kuwa mchezaji wa tatu wa Kitanzania aliyehamishwa kwa...

    MUTASINGWA Pict
  8. Mwandishi wa michezo auawa Italia

    MWANDISHI maarufu wa habari za soka Italia, Luigi “Luca” Esposito, ameuawa kikatili kwa kupigwa risasi kisha mwili wake kuchomwa moto katika mauaji yanayoonekana kutekelezwa kwa umakini mkubwa.

    ITALIA Pict
  9. Arsenal yabanwa kwa Bruno Guimaraes!

    KLABU ya Newcastle United imeanza kuchoshwa na namna Arsenal inavyofuatilia kiungo wake na nahodha, Bruno Guimaraes, huku ikisisitiza haitamuuza kwa chini ya pauni milioni 80 (zaidi ya Sh bilioni...

    ARSENAL Pict
  10. Chelsea yamtaka John Stones

    CHELSEA imeingia katika mbio za kumsajili beki wa kimataifa wa England, John Stones, kwa uhamisho wa bure baada ya mkataba wake na Manchester City kumalizika mwishoni mwa Juni.

    STONES Pict
Previous

Page 33 of 845

Next