Kocha Simba ailipua Yanga kuukosa ubingwa Katika mchezo huo Yanga ilishangaza wadau wa soka nchini kutokana na kitendo cha kusafiri na wachezaji 13 pekee huku wengi kati yao wakiwa wachezaji ambao hawana nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.
Agnes Masogange amekufa, lakini Jebby amekufa zaidi Januari 24, mwaka huu, mwandishi Anna Fifield wa gazeti na mtandao wa The Washington Post, Marekani, aliandika ripoti jinsi Wajapan wengi kwenye Jiji la Kawasaki, Japan wanavyofariki dunia...
Wachezaji Bayern washindwa kutumia tiquitaca za Pep KATIKA toleo lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau alianza kuelezea mipango ya Kocha Pep Guardiola katika mbio za Ligi ya Mabingwa akijiandaa kuivaa Arsenal...
Wambura ana nafasi ya kuibuka shujaa au kuzama hiyo pia ilikuwa na ufafanuzi uliosomeka: “Haikuweza kufahamika mara moja kwa nini Rage alimtaja jina kiongozi huyo baada ya kuonyesha ufundi wa kuuchezea mpira.” Wakati baadhi ya waandishi...
MIPANGO TU-Pep huchungulia mbinu za wapinzani kabla ya kuingiza kikosi chake uwanjani TOLEO lililopita kwenye Kitabu cha Pep Confidential, Mwandishi Marti Perarnau alielezea kwa mara nyingine utaratibu wa Kocha Pep Guardiola kutopenda kuonyesha furaha ya ushindi mbele ya...
Mwanamuziki Radio afariki dunia Jana Jumatano Rais Yoweri Museven alitoa Shiligi 30 milioni kwa ajili ya kumsaidia matibabu msanii huyo.
Hata makocha uvaaji saa wanauthamini SIKU hizi kila mwanadamu analofanya linaangaliwa sana kuliko zamani. Tukichukulia michezo, zamani Tanzania tulisikia tu majina ya wachezaji kama Bobby Moore, George Best, Pele na Diego Maradona.
Allan Shomari: Beki kitasa aliyepata upofu kama utani WAKATI mwingine maisha huwa na mitihani mingi ambayo kama si Mcha Mungu na anayeamini katika dini, ni rahisi kuingia kwenye kufuru.
Kambi ya Kagera Sugar usipime! MAJIRA ya mchana wa Jumapili, mwandishi anatinga ndani ya kambi ya timu ya Kagera Sugar iliyopo mjini hapa. Maskani ya kambi hiyo ipo Wilaya ya Misenyi katika Kata ya Nsunga umbali kutoka...
Super 8 kwa faida ya nani? NIMEWASOMA kwa umakini sana wachambuzi wa soka nchini na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wakichagiza na kushadadia kurudishwa kwa Ligi ya Muungano, wenyewe wanataka iitwe...