Cardi B awasapraizi mashabiki wake RAPA mwenye tuzo ya Grammy, Cardi B amewafanyia sapraizi mashabiki wake duniani kwa kuianika picha ya kwanza ya mtoto mpya aliyemzaa na nyota wa NFL, Stefon Diggs.
Jamie Redknapp amkingia kifua Slot, aomba mashabiki wamvumilie Mchambuzi wa soka wa England, Jamie Redknapp, amewataka mashabiki wa Liverpool kumvumilia kocha Arne Slot, ambaye anapitia kipindi kigumu kwa sasa, kufuatia kikosi hicho kushindwa kuonyesha uwezo...
Buffon aibua ishu ya Chiesa kuitwa timu ya taifa Gwiji wa soka wa Italia, Gianluigi Buffon, amesema kikosi cha Azzurri kinamsubiri Federico Chiesa kurejea katika timu hiyo, baada ya kushindwa kupata tiketi ya moja kwa moja ya kushiriki Kombe la...
Pogba arudi uwanjani Monaco ikilala ugenini Uwanja wa Stade Louis II ulifurika watazamaji kuliko ilivyozoeleka. Wapenzi wa soka walikuwa wamebeba mabango mekundu na meupe, wengine wakiwa na jina moja tu lililoangaza juu yao, POGBA.
Folz azua jambo Yanga, afichua siri 12 YANGA imekuwa na mwendelezo mzuri kwa misimu kadhaa na inachotaka ni kuzidi kupanda na si kushuka. Haya ni sawa na malengo ya kila timu na ili kufanikisha hilo, zimekuwa zikibadilisha vikosi hadi...
Arne Slot afunguka KOCHA Arne Slot amesema Liverpool kusajili beki wa kati mpya kwenye dirisha la Januari sio kipaumbele kikuu na badala yake amewekeza nguvu kwenye kuboresha maeneo mengine.
Neto akichafua, Chelsea ikiichapa Burnley kwao CHELSEA imezika rasmi jina la utani la ‘Cole Palmer FC’ shukrani kwa kiwango matata kabisa cha mshambuliaji Pedro Neto.
Barcelona yaendelea kutamani huduma ya Kane kikosini BARCELONA imewaweka katika rada zake mshambuliaji wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane, 32, pamoja na Julian Alvarez, 25, wa Atletico Madrid ambao mmoja inaweza kumsajili...
The King is back! AUSTIN Reaves amecheeekaaa kuhusu LeBron James kuvunja rekodi kibao za Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), na hasa baada ya hivi karibuni kupatwa na majeraha. Na kilichonfanya acheke ni kuambiwa hata...
Kumbe kiboko ya Bale ni Richards GARETH Bale amefunguka Micah Richards ndiye beki mgumu zaidi aliyekuwa akimpa shida uwanjani wakati walipokuwa wakikipiga.