Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9762 results for Mwandishi :

  1. Bruno aibana Man United, aweka masharti magumu

    NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, ameweka wazi mustakabali wake ndani ya klabu hiyo utategemea uwezo wa timu hiyo kurejea katika ushindani wa mataji msimu ujao.

    BRUNO Pict
  2. Mnigeria apanga kujiondoa Wolverhampton Wanderers

    NYOTA wa kimataifa wa Nigeria, Tolu Arokodare anatarajia kuondoka Wolverhampton Wanderers dirisha lijalo la usajili kufuatia ugomvi uliotokea ndani ya chumba cha kubadilishia nguo.

    MNIGERIA Pict
  3. Mayele atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Klabu

    Fiston Mayele ametawazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Klabu za Wanaume katika Tuzo za CAF 2025, akihitimisha msimu wake bora zaidi uliomfanya mshambuliaji huyo wa DR Congo kuwa mmoja wa...

  4. Mzize ang’ara tuzo za CAF 2025

    Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

  5. Arsenal, Manchester City zatabiriwa ubingwa EPL 2025-2026

    Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Alan Smith, ametaja klabu mbili ambazo anaamini zitashindana kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya EPL msimu huu 2025-2026.

    BINGWA Pict
  6. Kwanza Klopp, kisha Enrique

    LIVERPOOL itamgeukia kocha wake wa zamani, Jurgen Klopp kupiga mzigo upya huko Anfield itakapoamua kumfuta kazi Arne Slot kabla ya kutafuta namna kumpata kocha inayemtaka ambaye ni Luis Enrique.

  7. Cunha, Sesko ngoma ngumu

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim hatakuwa na huduma za washambuliaji wake Matheus Cunha na Benjamin Sesko katika mechi ngumu ya Ligi Kuu England dhidi ya Crystal Palace, Jumapili.

  8. Jimmy Cliff afariki dunia akiwa na miaka 81

    IKONI wa muziki wa Reggae kutoka Jamaica, Jimmy Cliff, afariki dunia jana akiwa na miaka 81.

  9. Harry Kane afurahia maisha Bayern, atuma salamu Arsenal

    Mshambuliaji wa Bayern Munich, Harry Kane, amesema anafurahia majukumu mapya aliyopewa katika kikosi hicho tangu alipotua klabuni hapo msimu uliopita.

    KANE Pict
  10. Dabi ya Mashemeji yaahirishwa kutokana na ukosefu wa uwanja

    Mechi ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Kenya kati ya mahasimu wakuu, Gor Mahia na AFC Leopards, iliyotarajiwa kuchezwa Jumamosi Novemba 29, 2025, imeahirishwa kutokana na kukosekana kwa uwanja.

Previous

Page 301 of 977

Next