PRIME Ukipanda ndege ya supastaa Ronaldo utagoma kushuka! UNAPOKUWA supastaa kama Cristiano Ronaldo, unahitaji usafiri wa maana kama wa ndege binafsi ili kwenda sambamba na staili yako ya maisha.
PRIME Ripoti maalumu… Madokta wa timu 7 Ligi Kuu matatani KANUNI za usajili na leseni za Klabu za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), ni mojawapo kati ya miongozo muhimu ambayo ndani yake imetoa maelekezo ya kufuatwa ili kulinda usalama wa kiafya katika soka.
Mfahamu Harold Ndege CEO mpya FKF SHIRIKISHO la Soka Kenya (FKF) lina uongozi mpya, lakini baada ya kuingia madarakani mambo mengi katika soka nchini humo yamebadilika. Yapo mabadiliko kuanzia ngazi ya uongozi hadi katika...
PRIME MZEE WA FACT: Uwanja wa Dodoma ungeitwa Joseph Nyerere Jumatano ya Februari 12 mwaka huu, Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo ilitoa mchoro rasmi wa uwanja wa michezo utakaojengwa jijini Dodoma. Siku iliyofuata Februari 13, wizara hiyo...
Ahamada yeye ni Aziz KI, Fei Toto na Foba KAMA ulikuwa unafikiri Azam FC walimsajili Ali Ahamada miaka mitatu iliyopita kwa sababu ya mkwanja mrefu ambao waliuweka mezani, basi ulijidanganya. Mcomoro huyo amezungumza nini kilimfanya...
Guardiola bado anamtamani Florian Wirtz KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola bado anahitaji saini ya kiungo wa Bayer Leverkusen na Ujerumani, Florian Wirtz, 21, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi baada ya kushindwa kufanya...
Kane afunguka kuondoka Bayern Munich STRAIKA wa Bayern Munich, Harry Kane amefunguka kuhusu mustakabali wake kwenye kikosi cha Bayern Munich baada ya kugundulika kuwa na kifungu katika mkataba wake ambacho kitamwezesha kuondoka...
HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 1 Mwandishi mahiri wa riwaya nchini, Faki A. Faki anakuja na mzigo mpya kabisa wa kisa cha upelelezi, mapenzi na maisha ya kawaida. Binti wa bilionea anatekwa na magaidi ambao wanataka pesa...
Refa wa Arsenal apewa gemu ya Barca Ulaya MWAMUZI, Michael Oliver ataonekana tena uwanjani kucheza mechi ya soka licha ya kuripotiwa kutumiwa meseji za vitisho kutokana na tukio lake la kumtoa kwa kadi nyekundu nyota wa Arsenal, Myles...
ATM YA WIKI: Walker pesa zinamfuata KATIKA dirisha hili la usajili, beki wa Manchester City, Kyle Walker ameachana na timu hiyo kujiunga na AC Milan kwa mkataba wa mkopo wa nusu msimu ikidaiwa anataka kubadilisha mazingira baada ya...