PUMZI YA MOTO: Maajabu ya tatu fainali Z'bar Heroes LEO, timu ya taifa ya Zanzibar 'Zanzibar Heroes' itacheza fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Burkina Faso katika kusherehekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Osama Korosho; Aikimbia Mtwara, anajitafuta Dar Mitaa ya Mkanaredi, Soko la Chuno, Coco Beach, Stendi zamani hadi Mikindani mkoani Mtwara imekuwa mitaa muhimu kwa bondia chipukizi wa ngumi za kulipwa nchini Osama Arabi lakini maarufu zaidi...
Serikali yatoa msimamo afya mabondia wa kulipwa SERIKALI imewataka mapromota kuhakikisha wanakuwa na ripoti ya afya kwa mabondia kabla ya kuingia makubaliano ya kusaini mikataba ya kucheza mapambano.
PRIME MUSONDA: Tatizo lilikuwa Mayele, ila nataka kucheza hapa! KIKOSI cha Yanga kina washambuliaji ambao ni tishio kwa mabeki wa timu pinzani, lakini mashabiki wa klabu hiyo wamekuwa wakichanganywa na namba za Mzambia Kennedy Musonda.
Simulizi ya bondia kifo cha Mgaya MIONGONI mwa mambo yaliyokuwa gumzo mwishoni mwa mwaka 2024 hadi mapema Januari 2025 ni tukio la bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mgaya kufariki baada ya kumalizika kwa pambano lake...
Mkali wa mabao KenGold akimbilia Namungo KLABU ya Namungo iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa KenGold, Joshua Ibrahim baada ya kufikia makubaliano binafsi na nyota huyo, aliyekitumikia kikosi hicho...
MCHANJA: Bondia anayetembea na rekodi ya peke yake YOHANA Mchanja ni mmoja kati ya mabondia wenye rekodi kubwa katika mchezo wa ngumi za kulipwa hapa nchini anayetokea Jiji la Tanga.
Bondia afariki baada ya kupigwa ulingoni BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mgaya, amefariki dunia usiku huu muda mchache baada ya kupewa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kutoka Hospitali ya Mwananyamala.
Mchanja, Mfilipino kazi ipo KO ya Mama BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Yohana Mchanja na mpinzani wake Miel Farjado wa Ufilipino watakabiliana katika pambano la kimataifa la kuwania mkanda wa ubingwa wa WBO Global huku kila mmoja...
Kenedy Ayoo na safari ya mikasa hadi Russia kuzichapa WIKI iliyopita katika tasnia ya mchezo wa ngumi za kulipwa nchini kulitokea mshtuko baada ya kuenea taarifa za bondia Kenedy Ayoo kukwama nchini Russia baada ya kupata ushindi wa pointi aliopata.