Kilichomng’oa Kally Ongala KMC UONGOZI wa KMC umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Kally Ongala kutokana na mwenendo mbovu wa kikosi hicho msimu huu katika Ligi Kuu tangu alipojiunga nacho Novemba 14, 2024.
Biashara United Kutoka michuano ya CAF hadi First League BIASHARA United ni miongoni mwa timu zenye umaarufu hapa nchini kutokana na wasifu wake iliojitengenezea, huku ikikumbukwa zaidi msimu wa 2021-2022 iliposhiriki michuano ya Kombe la Shirikisho...
Ndoa ya Mserbia, KenGold yafikia tamati KLABU ya KenGold imefikia uamuzi wa kuachana na aliyekuwa kocha wa timu hiyo raia wa Serbia, Vladislav Heric baada ya kikosi hicho cha Chunya mkoani Mbeya kushuka Ligi Kuu Bara kikiwa na mechi...
Nne Mbeya City zampa heshima Malale KOCHA wa Mbeya City, Malale Hamsini ameandika rekodi nyingine kwa kuipandisha timu Ligi Kuu Bara msimu ujao, ikiwa ni kwa mara ya pili tangu afanye hivyo msimu wa 2022-2023, akiwa na kikosi cha...
Selemani Bwenzi ageuka lulu sokoni VIGOGO mbalimbali nchini wameanza kupiga hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa KenGold, Selemani Bwenzi kutokana na kiwango bora anachoonyesha akiitumikia timu hiyo, licha ya kikosi hicho...
John Noble avunja ukimya ishu ya Fountain Gate KIPA wa Fountain Gate raia wa Nigeria, John Noble amevunja ukimya akithibitisha ni kweli kwa sasa ameondoka ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya kwenda kupumzika kwa wiki kadhaa, ingawa atarejea...
Azam FC yashtukia kitu kwa Nizar WAKATI ikielezwa kuwa, Yanga iko katika mazungumzo na nyota wa JKU, Abubakar Nizar Othman, mabosi wa Azam FC wameweka wazi nyota huyo ni mali yao na hauzwi, hivyo wanaomtaka wasahau kuhusiana na...
Pointi 15 zamliza Omary Madenge KITENDO cha Biashara United kupokwa pointi 15 na Bodi ya Ligi Kuu (TPLB), kimemliza kocha wa kikosi hicho, Omary Madenge na kukiri ingekuwa ni miujiza kubakia Ligi ya Championship msimu ujao...
Wanakimanumanu waitana Mkwakwani WAKATI African Sports ikiwa katika presha ya kushuka daraja, viongozi na benchi la ufundi wamewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi katika mechi ya mwisho na Transit Camp, itakayopigwa kwenye...
Masoud ana mawili Chama la Wana BAADA ya Stand United 'Chama la Wana', kushindwa kupanda Ligi Kuu Bara msimu ujao moja kwa moja, kocha wa timu hiyo, Juma Masoud amesema kwa sasa ana kazi kubwa ya kupambania maeneo mawili...