Kombe la Dunia kuwa na 'half-time show' SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) limetangaza mpango wa kuwa na onyesho la mapumziko (halftime show) kwa mara ya kwanza kabisa katika fainali ya Kombe la Dunia 2026, litakalofanyika katika Uwanja...
Yanga, Azam zapelekwa Mwanza, Simba yarudishwa Arusha SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepanga mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, baina ya Yanga na Azam FC kuchezwa Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba, Juni 21, 2026.
Mainoo akumbuka magumu United KIUNGO wa Manchester United, Kobbie Mainoo, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu changamoto alizopitia baada ya kupoteza nafasi kikosini chini ya kocha wa zamani Ruben Amorim kabla ya kurejea...
Kigogo ashusha presha ujenzi Uwanja Yanga KUMEIBUKA mjadala kwa baadhi ya wadau wa soka wakiona kama wamedanganywa hatua za kuanza kwa ujenzi wa Uwanja wa Yanga, sasa kigogo mmoja wa timu hiyo ameibuka na kutuliza presha.
Wafungaji bora wa kila timu katika EPL TANGU Ligi Kuu England ianzishwe msimu wa 1992/93, timu 51 tofauti zimecheza kwenye ligi hiyo.
Hii hapa ratiba ya gwaride la ubingwa Arsenal SHANGWE zinaendelea kwa mashabiki wa Arsenal baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa wa Premier League kwa mara ya kwanza baada ya miaka 22.
Ronaldo atoa kauli baada ya ubingwa kutoweka “Ndoto iko karibu kutimia. Tuinue vichwa kwa imani, bado kuna hatua moja ya mwisho! Asanteni wote kwa sapoti kubwa usiku wa leo!” Kauli hii ya Cristiano Ronaldo imeibua hisia kali miongoni mwa...
Tuchel atangaza Kikosi cha England, atema mastaa KOCHA mkuu wa England, Thomas Tuchel, ameshtua wadau wengi wa soka baada ya kutangaza kikosi chake cha wachezaji 26 kwa ajili ya Kombe la Dunia 2026, akiwabwaga baadhi ya majina makubwa.
Fainali Kombe la Dunia kunogeshwa na hawa ORODHA ya mastaa watakaotumbuiza katika mechi ya fainali ya Kombe la Dunia 2026 imetajwa rasmi, huku ikijumuisha baadhi ya wasanii wakubwa duniani pamoja na waigizaji maarufu wa kipindi cha...