Rio: Gerrard jiandae kuichukua Liverpool RIO Ferdinand amemwambia staa mwenzake wa zamani wa England, Steven Gerrard kwamba ajiandae kwa ajili ya kupokea simu kutoka kwa mabosi wa Liverpool kwenda kuokoa jahazi kutokana na presha...
Mohbad kuzikwa baada ya matokeo ya DNA Baba wa marehemu mwanamuziki Ilerioluwa Aloba “Mohbad”, Joseph Aloba, ameweka wazi kuwa sababu pekee inayochelewesha mazishi ya mwanawe ni kukamilika kwa kipimo cha DNA cha mtoto wa Mohbad.
MASON; Dogo bingwa wa dunia mwenye ngumi za 'chuma' ALIZALIWA Aprili 5, 2004 katika jiji dogo la Bedford, Ohio, Marekani. Lakini unaposoma hapa miaka 21 ya uhai wake duniani imetosha kushinda mapambano 20 aliyopigana, akishinda 17 kwa knockout...
Fifa yazipa ahueni klabu kuelekea AFCON KLABU za Ligi Kuu England ikiwamo Manchester United na Liverpool zimepata mzuka mpya baada ya FIFA kutoa utaratibu mwingine zinaweza kubaki na mastaa wao kwa wiki zaidi kabla ya kuwaruhusu kwenda...
Azam v Singida vita ya mbinu Ligi Kuu Bara KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi leo ana mtihani mgumu mbele ya Florent Ibenge anayeinoa Azam, wakati timu hizo zitakapocheza mechi ya Ligi Kuu Bara.
Serengeti Boys yatwaa ubingwa CECAFA U17, yafuzu AFCON Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, imetwaa ubingwa wa CECAFA U17 baada ya kuichapa Uganda mabao 3-2 kwenye mechi ya fainali iliyochezwa leo Desemba 2...
Siku 61 za Pantev zilivyohitimishwa Simba KLABU ya Simba, leo Desemba 2, 2025 imetangaza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Meneja Mkuu, Dimitar Pantev pamoja na wasaidizi wake wawili.
PRIME Huyu hapa kumrithi Pantev Simba Baada ya uongozi wa klabu ya Simba kufikia makubaliano ya kumfuta Meneja Dimitar Pantev, klabu hiyo inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, imeanza harakati za kusaka mrithi wa kubeba mikoba...
AFCON 2025: Emam Ashour, Mostafa Fathi warudishwa The Pharaohs Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Misri, Hossam Hassan, ametangaza kikosi chake kitakachoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) zitakazofanyika nchini Morocco.