Simba, Namungo washikilia ratiba ya Mapinduzi Cup WAWAKILISHI wa michuano ya kimataifa nchini, Simba na Namungo FC ndiyo wameshikilia upangaji wa ratiba ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi, ingawa tayari zimethibitisha ushiriki wao.
Mathias Lule atua Mbeya City UONGOZI wa Klabu ya Mbeya City imemtangaza kocha Mathias Lule ambaye alikuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' kuwa kocha mkuu wa timu hiyo akichukuwa nafasi ya Amri Said...
Maajabu ya no 25 Azam VS Yanga moja kati ya namba mbili tu ambazo kipeuo chake cha pili kinaishia na namba hiyohiyo...yaani 25² = 625. Namba nyingine ni 76. MAAJABU YAKE Namba hii ina maajabu yake katika nyanja tofauti tofauti...
Ally Mwazoa; promota wa Mwakinyo mwenye simulizi tamu, chungu za ndondi-2 anafahamu kama Hassan ‘ametrain’ right, ila angeachiwa kocha wake akawa huru, angefanya vizuri sana kwani ndiye amemfundisha hadi akashinda Uingereza, anamfahamu vilivyo bondia.” Udhamini...
Mikasa ya Duchu SIMBA imebadili historia ya beki wao, David Kameta ‘Duchu’ (19), ambaye amepitia mazito, yanayomfanya awe nidhamu, mpole, bidii katika kazi zake na ubinadamu anapoona mtu mwingine anapitia magumu.
Ishu ya Mukoko kumbe ipo hivi JANA kwenye sehemu ya kwanza, Mukoko Tonombe, staa mpya wa Yanga alizungumzia mambo kibao ikiwemo jinsi alivyopania kulipa kisasi watakapokutana na Simba, Oktoba 18. Lakini pia aligusia kwamba...
Sababu wachekeshaji kuitwa ‘Chale’ -sha ya wanyonge ni kitu kibaya, basi alifurahi na kuona fahari kuambiwa hivyo. Hata hivyo aliru-di Marekani 1972 pale chuo maarufu cha michezo ya sinema, Academy of Motion Pictures kili-pompa tuzo...
Vijue Vifungu vya Mkataba Bora kwa Mchezaji yatakuwa yanafanyika kwa mchezaji ambaye ana majeraha au yule ambaye hawezi tena kucheza kutokana na maumivu ya kimwili na kiakili baada ya kuitumikia klabu. Nane, lazima mkataba huu uwe na...
Takes Zenji to the World KILA aliyetia timu kwenye tamasha la Sauti za Busara huko Zanzibar, basi ameondoka huku moyo wake ukiwa umesuuzika kabisa. Kila burudani ilikuwepo na mashabiki muda wote walikuwa na mzuka mwingi...
Komando Hamza Kalala aliyelala stendi akisubiri ajira Sifa zake zilianza kuzagaa wakati alipokuwa akicharaza gitaa la solo kwa umahiri mkubwa akiwa katika bendi mbalimbali jijini Dar es Salaam zikiwemo za UDA Jazz, Super Matimila, Washirika Tanzania...