Manchester City yajitosa dili la Marc Guehi MANCHESTER City ni miongoni mwa tinu zinazohitaji saini ya beki kisiki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England Marc Guehi mwenye umri wa miaka 25.
Bro'ake Mainoo aleta uchochezi KAKA yake kiungo Kobbie Mainoo amechukua uamuzi wa kuvaa fulana yenye maandishi ya uchochezi wakati wa mechi ya Manchester United iliyomalizika kwa sare ya mabao 4-4 dhidi ya Bournemouth...
Ben White atibua hesabu za Arteta Beki wa Arsenal, Ben White atakuwa nje ya uwanja kwa muda usiopungua mwezi mmoja baada ya kupata maumivu ya misuli.
Duh! Terry kapitia wakati mgumu sana BEKI wa boli, John Terry amefunguka msongo wa mawazo uliomkabili kiasi cha kufikiria kujitoa uhai baada ya kukosa penalti katika mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baina ya Chelsea na...
Majembe Ligi Kuu Bara ndani ya AFCON 2025 LIGI Kuu Bara kwa sasa imesimama kupisha Fainali za Mataifa Afrika (AFCON 2025) zitakazoanza Jumapili wiki hii nchini Morocco.
Maresca afunguka majanga yake Chelsea KOCHA Enzo Maresca amesema yupo na furaha kubwa huko Chelsea, lakini amegoma kupuuzia malumbano yake na mabosi kwenye kikosi hicho cha Stamford Bridge.
Mashabiki Simba, Yanga kuonyeshana umwamba Mashabiki wa Simba na Yanga watacheza mechi ya kirafiki, Jumapili, Desemba 21, 2025 kwa lengo la kuhamasisha upendo na umoja baina yao.
Nigeria, Misri kucheza mechi ya kirafiki leo Timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, itashuka dimbani leo Jumanne, Desemba 16, 2025 kuivaa timu ya taifa ya Misri, Pharaohs katika mechi ya kimataifa ya kirafiki kwa ajili ya kujiandaa na...
Morocco yaongoza mbio za ubingwa AFCON 2025 Kompyuta mahiri ya takwimu ya Opta Supercomputer, imetoa utabiri wa mataifa yenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, mashindano yatakayoanza wikiendi hii...
Wanajeshi watakaotoana jasho Afcon 2025 NI mwendo wa kuhesabu siku tu kabla ya kuanza kwa mashindano ya Afcon 2025 huko Morocco. Mikikimikiki hiyo ya kusaka ubingwa wa Afrika itahusisha timu 24 zilizopangwa kwenye makundi sita.