Rashford mambo freshi La Liga STAA wa Manchester United anayecheza kwa mkopo Barcelona, Marcus Rashford ni moja ya majina saba ambayo huenbda yakaingia katika orodha ya nyota watakaokipiga La Liga msimu ujao.
Kumekucha mashindano ya Gofu ya Rotary Club MASHINDANO ya 15 ya Gofu ya Rotary Club ya Bahari yanatarajiwa kufanyika Agosti 16 kwenye viwanja vya Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam.
Huyo Baleba kaomba kwenda Man United HABARI ndo hiyo. Kiungo mkata umeme, Carlos Baleba ameripotiwa kuwasilisha maombi yake ya mdomo kwa mabosi wa Brighton akiwaomba wamfungulie mlango wa kwenda kujiunga na Manchester United.
Rooney: Amorim hana visingizio tena LEJENDI wa Manchester United, Wayne Rooney amesema Ruben Amorim hana tena visingizio na lazima ahakikishe timu inaanza kupata matokeo haraka.
Kitita chatengwa dili la Isak, Guehi Liverpool LIVERPOOL iko tayari kufanya ununuzi mkubwa wa zaidi ya Pauni 150 milioni wa wachezaji kabla ya dirisha hili la uhamisho la majira ya kiangazi kufungwa.
Arteta bado hajamaliza usajili KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, bado hajamaliza, ndio. Mhispania huyu bado anahitaji wachezaji wasiopungua wanne kwa ajili ya kuboresha zaidi kikosi.
Nyingine zajitokeza dili la Kobbie Mainoo LICHA ya uwepo wa vigogo, Real Madrid, Bayern Munich na hata Bayer Leverkusen wanaohitaji saini ya kiungo wa Manchester United, Kobbie Mainoo, Napoli pia imejitosa katika vita ya kuiwania huduma...
CR7 amchumbia demu wake baada miaka tisa SUPASTAA, Cristiano Ronaldo hatimaye amemchumbia mpenzi wake wa muda mrefu, mrembo Georgina Rodriguez.
Mikah afuta ubingwa Man City kisa Rodri BEKI wa zamani wa Manchester City, Micah Richards ameifuta timu hiyo kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu kwasababu kiungo Rodri atakuwa nje ya uwanja hadi Oktoba.
Neville ataka kipa mpya Man United GARY Neville amesema anaamini Manchester United ina ulazima wa kusajili kipa mpya kama inataka kumaliza ndani ya Top Six kwenye Ligi Kuu England msimu huu.