Afcon 2025 mambo matamu yanukia SAA chache kabla ya kuanza kwa fainali za 35 za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) huko Morocco mambo yameanza kunukia wenyeji wakianzia kwenye viwanja vya ndege.
Uganda yawahi mapema Morocco WAPINZANI wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 Uganda The Cranes wamewahi mapema Morocco karibu siku 11 kabla ya kuanza kwa fainali hizo Jumapili hii.
Aubameyang kukosa moja AFCON 2025 MSHAMBULIAJI mkongwe Pierre-Emerick Aubameyang ataukosa mchezo wa kwanza wa Gabon katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) litakaloanza wikiendi hii lakini anatarajiwa kupona jeraha la paja na...
Msuva, Samatta wainogesha Stars kambini KAMBI ya timu ya taifa, Taifa Stars iliyopo Misri imeizidi kunoga baada ya kuwasili kwa mastaa wakubwa wa timu hiyo inayojiandaa kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 inayoanza...
PSG yaambiwa imlipe Mbappe Pauni 52 milioni SUPASTAA, Kylian Mbappe atapokea Pauni 52 milioni baada ya kushinda shauri lake mahakamani dhidi ya klabu yake ya zamani ya Paris Saint-Germain.
Alonso ajiingiza kesi ya Barca KOCHA wa Real Madrid, Xabi Alonso amemtaka rais wa miamba hiyo Florentino Perez kutafuta haki baada ya kuwapo na kashfa ya rushwa inayowahusisha mahasimu wao wakuu kwenye La Liga, Barcelona.
Dembele ndiye mchezaji bora wa mwaka wa Fifa STAA wa Paris Saint-Germain, Ousmane Dembele amechaguliwa kuwa Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Fifa kwa 2025.
Fernandes: Wanataka kuniuza! KIUNGO wa boli na nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes amesema bosi wa timu hiyo alitaka kumpiga bei kwenye dirisha la majira ya kiangazi na kwamba mazungumzo yake na kigogo huyo bado...
Mabondia bora vijana wanaotamba 2025 ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya kumalizika kwa mwaka 2025, kuna orodha imetoka ya mabondia bora vijana chini ya umri wa miaka 25.
Kwaheri Maximo, hili halitasahaulika ADIOS Amigo. Adios Maximo. Ndiyo, huu ni msemo wa kihispania wenye maana ya kuagana na rafiki na ndivyo mashabiki wa soka wanavyomuaga rafiki yao. Kocha Marcio Maximo. Kocha huyo raia wa Brazili,...