Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9734 results for Mwandishi :

  1. Kimmich afichua siri kubaki Bayern

    KIUNGO fundi wa mpira, Joshua Kimmich amefichua kwamba sababu ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki Bayern Munich kwa vile ni mahali anapoamini atafanikiwa kuliko kwenda kwingineko.

    KIMICH Pict
  2. Bosi kasema... Man United itasajili

    MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Omar Berrada amesema kocha Ruben Amorim ameanza kujadiliana na mabosi wa klabu juu ya mipango ya dirisha lijalo la usajili wa majira ya kiangazi...

    MAN Utd Pict
  3. Arteta akubali yaishe, ataka nafasi ya pili

    KOCHA Mikel Arteta amewataka mastaa wake wa Arsenal kushinda vita ya kumaliza namba mbili Ligi Kuu England msimu huu baada ya kuwaambia: “Kama hamuwezi kuwa namba moja, basi walau muwe namba mbili.”

  4. Slot afichua siri ya Mohamed Salah

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amefichua siri ya kinachosababisha ukame wa mabao wa staa wake, Mohamed Salah katika kipindi cha hivi karibuni.

    SLOT Pict
  5. Huko Liverpool ni vicheko tu

    HUENDA ukawa ni mwezi mzuri sana kwa Liverpool kutokana na matukio ambayo yanajiri kwao kuanzia ndani ya uwanja na nje ya uwanja.

    LIVERPOOL Pict
  6. Gyokeres akataa kutabiri atakapocheza 2025/26

    STRAIKA wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres amekataa kutabiri juu ya wapi anaweza kutua dirisha lijalo la majira ya kiangazi akisisitiza 'hakuna anayeweza kutabiri kitakachotokea.'

    KUTABIRI Pict
  7. Kocha Chelsea afunguka njia wanayopita

    WAKATI ligi ipo kwenye nusu ya mzunguko wa kwanza, Chelsea ilikuwa ikionekana kuwa mpinzani halisi wa Liverpool katika mbio za ubingwa.

    CHELSEA
  8. Ronaldo, Toney wana bato lao

    WAKATI timu ya Cristiano Ronaldo, Al Nassr ikitarajiwa kuukosa tena ubingwa wa Ligi Kuu Saudi Arabia (SPL), gwiji huyo anakumbana na ushindani mwingine katika kuwania kiatu cha mfungaji bora...

  9. HII KITU HAIKUBALIKI… Nahodha Arsenal, kocha wawaambia mastaa

    NAHODHA wa Arsenal, Martin Odegaard amewaambia wachezaji wenzake kwenye kikosi hicho kwamba kipigo cha mabao 2-1 walichokumbana nacho dhidi ya Bournemouth, jana Jumamosi "haikubaliki".

    HAIKUBALIKI Pict
  10. Trent kuruhusiwa fasta Madrid

    BEKI wa kulia, Trent Alexander-Arnold anajiandaa kwenda kujiunga na Real Madrid akitokea Liverpool kwa ada isiyozidi Pauni 1 milioni ndani ya muda ili akakipige kwenye michuano ya Kombe la Dunia...

    TRENT Pict
Previous

Page 268 of 974

Next