UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Unaiona wapi Yanga kimataifa? HAKUNA uoga wowote kusema Yanga ndiyo timu bora kwa sasa nchini. Sio kificho tena. Kikosi cha kwanza kimesheheni watu. Ukitazama benchi lao nalo limejaa watu wa maana. Unatazama mechi yao na Ruvu...
MASTORI YA OSCAR: Kwanini Ofisa Habari wa klabu amzidi hadi Rais wa nchi kuongea? MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu. Ni jambo...
Prisons yahamia kwa Azam Tanzania Prisons imekiri kuwa inapokutana na Azam huwa inachezea vichapo sasa kesho Ijumaa, inaenda kufuta uteja kwa kupata ushindi licha ya kuwakosa nyota wake saba wenye sababu mbalimbali.
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Umemuona bosi mpya wa TFF? HATIMAYE aliyekosa sifa za kuwa mgombea urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ally Mayay Tembele ameenda kuwa bosi wa shirikisho hilo pale Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Maisha ni...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kwanini Simba mnamtega Juma Mgunda? MOJAWAPO kati ya makosa wanayofanya viongozi wa Klabu ya Simba ni kutoamua hatima ya kocha Juma Mgunda kwa wakati. Makocha wana athari nyingi sana kwenye mchezo wa soka. Tumeshuhudia chini ya...
Saido aanza Geita Gold, Minziro apangua watatu , Shinoba Sakai akiwa jukwaani. Mbali na Saido, Kocha Mkuu wa Geita Gold, Felix Minziro amepangua kikosi chake cha kwanza kilichoanza katika mchezo uliopita wa Kombe la Shirikisho barani Afrika...
Filamu ya Vuta N'kuvute kuiwakilisha Tanzania tuzo za Oscar Dar es Salaam . Filamu ya Vuta N'kuvute imechaguliwa kushindanishwa katika tuzo za filamu za Oscar 2022 zitakazotolewa nchini Marekani Februari mwakani. Vuta N'Kuvute ni filamu...
MASTORI YA OSCAR: Huu uchawa na ushujaa unasaidia mpira wetu? SIKU hizi mtu yeyote anayesifia serikali anaitwa chawa. Na mtu yeyote anayepinga serikali anageuka kuwa shujaa. Siku hizi kila mtu anayesifia tabaka la juu anaitwa chawa. Wakati yule anayetetea...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Umeliona tatizo la mkataba wa GSM pale Yanga? Yanga wamefanya maboresho ya Mkataba wa kutengeneza Jezi na kuziuza na Kampuni ya GSM kwa Kipindi cha Miaka mitano Mkataba wenye Thamani ya Bilioni 10. Hii ni hatua kuwa sana lakini kumekuwa na...
MASTORI YA OSCAR: Kwani Simba wamekutwa na ugonjwa gani? UKINIULIZA kama Simba wako sawasawa, nitasema hapana. Nawaona kama wagonjwa. Sidhani kaka wako sawa kiafya. Ni kama mtu mwenye Malaria iliyopanda kichwani. Ni kama mtu mwenye Degedege...