Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9731 results for Mwandishi :

  1. Joto la El Clasico… Alonso ana jambo la kuamua, Trent, Carvajal watajwa

    Wakati Trent Alexander-Arnold alipoumia ghafla, ilionekana wazi huu ulikuwa wakati wa Dani Carvajal kuendelea kuonyesha ubora wake kwenye kikosi cha Real Madrid, baada ya kupona kufuatia kukaa...

    EL CLASICO Pict
  2. Arsenal imejibu ishu ya Atletico Madrid, yataja wachezaji, viongozi

    Arsenal imeomba radhi kwa Atletico Madrid kufuatia klabu hiyo ya Hispania kulalamika ukosefu wa huduma ya maji ya moto, baada ya kufanya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Emirates.

    ARSENAL Pict
  3. Haaland afunga tena, Man City ikimaliza ukame wa ushindi ugenini

    Erling Haaland ameendelea na rekodi yake ya kufunga alipofumania nyavu kwa mara ya 12 mfululizo, akiisaidia Manchester City kumaliza ukame wa ushindi ugenini kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa...

  4. Dortmund yaiadhibu Copenhagen kwao

    Jobe Bellingham ametoa mchango wake wa kwanza tangu ajiunge na Borussia Dortmund baada ya kusaidia bao la ufunguzi la Felix Nmecha, ambaye alifunga mara mbili na kuisaidia klabu hiyo ya Ujerumani...

  5. Athletic yapata ushindi wa kwanza Andre akiandika historia UEFA

    Klabu ya Athletic imetoka nyuma na kuichapa Qarabag mabao 3-1 na kupata ushindi wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu, baada ya kiungo wa Qarabag, Leandro Andrade, kuweka historia...

  6. Ekitike afunga Liverpool ikimaliza ukame wa ushindi kwa kishindo

    Hugo Ekitike amefunga dhidi ya klabu yake ya zamani wakati Liverpool wakiukomesha mwenendo wao mbaya wa kupoteza mechi kwa kishindo, baada ya kutoka nyuma na kuicharaza Eintracht Frankfurt katika...

  7. Mtoto wa tajiri aibuka Man United

    EDWARD Glazer, mmoja wa ndugu watano wenye hisa nyingi kwenye umiliki wa klabu ya Manchester United, amebainisha juu ya mpango wa familia hiyo ya Kimarekani juu ya kutathmini mustakabali wa klabu...

    TAJIRI Pict
  8. Taifa Stars mambo yake ni magumu

    Taifa Stars imepoteza matumaini ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026, baada ya kulala kwa bao 1-0 dhidi ya Niger kwenye mchezo uliopigwa Uwanja wa Amaan Zanzibar.

    TAIFA Pict
  9. Martinelli afurahia ushindani Arsenal

    WINGA wa Arsenal, Gabriel Martinelli amesema tena kwa msisitizo kwamba anafurahia ushindani wa namba uliopo kwenye kikosi hicho na yupo tayari kwa mapambano licha ya kuwapo na taarifa za kwamba...

    MARTINELI Pict
  10. Ancelotti achimba mkwara Brazil

    KOCHA, Carlo Ancelotti ameahidi kwamba Brazil itawasha moto kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kufuzu michuano hiyo kwa rekodi mbaya.

    ANCELOTTI Pict
Previous

Page 260 of 974

Next