Kompyuta yaipa Arsenal ubingwa ARSENAL imepewa nafasi kubwa ya kushinda ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.
Joto la El Clasico, vipimo kuamua hatma ya Jules Kounde Mabingwa wa Hispania, FC Barcelona, huenda wakamkosa beki wa pembeni kutoka Ufaransa, Jules Kounde, kwenye mechi ya El Clasico, itakayopigwa kesho Jumapili, Oktoba 26, 2025 kwenye Uwanja wa...
Vinicius Jr aibuka shujaa Real Madrid ikiipiga Villarreal Vinicius Junior amefunga mabao mawili huku Real Madrid ikirejea kwenye njia ya ushindi baada ya kipigo cha fedheha kutoka kwa majirani zao Atletico Madrid wiki iliyopita, kwa kuichapa Villarreal...
Arteta afafanua ishu ya Odegaard, Rice KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kapteni wa timu yake, Martin Odegaard pamoja na kiungo Declan Rice walioshindwa kuendelea katika mechi dhidi ya West Ham wamepata majeraha ambayo...
Gwiji wa Southampton anusurika kifo Uholanzi Mchezaji wa zamani wa Ligi ya EPL, Eljero Elia, amenusurika kifo baada ya ajali mbaya iliyohusisha magari matatu nchini Uholanzi.
Garathe Southgate hataki dili la Man United TAARIFA za ndani zinadai mabosi wa Manchester United wamepokea taarifa za kushangaza kuhusu kocha Gareth Southgate ambaye alikuwa katika mipango yao ya kwenda kuchukua kijiti kutoka kwa Ruben...
Potter afungashiwa virago West Ham KOCHA Graham Potter ametimuliwa na West Ham United saa chache zilizopita, licha ya kuongoza mazoezi kwa wiki nzima kuelekea mechi za wikiendi hii.
Pamba Jiji yabanwa nyumbani PAMBA Jiji jana ikicheza kwa mara ya kwanza mechi y Ligi Kuu Bara ikiwa nyumbani ilibanwa mbavu na Watoza Ushuru wa TRA United baada ya kutoka suluhu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.
Roberto Martinez: Ronaldo ni mfano wa kuigwa, anajua anachokifanya Kocha wa timu ya taifa ya Ureno, Roberto Martinez, amemwagia sifa nahodha na mshambuliaji wa kikosi chake, Cristiano Ronaldo, kuelekea mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Ireland na...
Kinda Real Madrid amtaja Messi mchezaji wake bora namba moja Nyota chipukizi wa Real Madrid, Franco Mastantuono, amemtaja Lionel Messi kama mchezaji wake bora namba moja anayemvutia.