Osimhen: Sisi Nigeria tuko tayari kwa vita MSHAMBULIAJI wa Nigeria na Galatasaray, Victor Osimhen, amesema kikosi cha Super Eagles kiko tayari kabisa kuikabili Msumbiji katika hatua inayofuata ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025.
Unaijua Arsenal ya Afcon wewe? MASHABIKI wa soka huko kwenye mashindano ya Afcon 2025 wameibatiza Sudan jina la utani la “Arsenal ya AFCON” baada ya kuwa timu ya kwanza kabisa katika historia ya Kombe la Mataifa ya Afrika...
Amorim anawawaza tu Mbeumo, Amad MANCHESTER United kijasho kinawatoka kwa sababu ya kuwasubiri Bryan Mbeumo, Amad na Noussair Mazraoui, ambao wote wako kwenye majukumu ya kimataifa wakicheza Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)...
Arsenal kila kitu kipo vizuri 2026 ARSENAL imefunga mwaka 2025 kibeba sana huku ikiamini 2026 itakuwa bora zaidi kwao
UJANJA KUWAHI: Mastaa wa maana unaoweza kuwanasa bure Juni 2026 DIRISHA la usajili la Januari limekuwa kipindi cha matumizi madogo katika soka la kisasa, huku klabu kubwa zikihifadhi pesa kwa matumizi makubwa zaidi majira ya joto.
Arsenal, Man City kuna mtu anaachwa! MWAKA Mpya 2026 umeshafika na sasa ni suala la kuhesabu tu miezi kabla ya Ligi Kuu England kufika mwisho na bingwa mpya kutangazwa.
Madrid yapanga kuanza kubonga na Vinicius Jr REAL Madrid inatarajiwa kuanza upya mazungumzo ya mkataba mpya na mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Jr, 25, ambaye ameweka wazi kuwa ana nia ya kuendelea kubaki Santiago Bernabeu...
Auba wa Gabon mambo mabaya SERIKALI ya Gabon imeivunja timu ya taifa, ikimpiga marufuku mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang na kumfuta kazi kocha Thierry Mouyouma baada ya timu hiyo kutolewa kwenye Kombe la Mataifa ya...
Harry Kane kawa mtamu kinyama yani! STRAIKA, Harry Kane ameripotiwa kuwa na pato linalofikia thamani ya Pauni 100 milioni kwa sasa huku hilo likinganishwa na thamani yake ya mabao anayofunga kila siku, yanayotajwa kuwa na thamani...
Hiki hapa kikosi bora hatua ya makundi AFCON 2025 HATUA ya makundi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco na leo Jumamosi, Januari 3 utaanza rasmi mchakamchaka wa hatua ya mtoano ya 16 bora.