Kocha Simba ainyima taji Nigeria KOCHA wa zamani wa Simba, Dylan Kerr aliyewahi pia kuzinoa Gor Mahia ya Kenya na Moroka Swallows ya Afrika Kusini, ameshindwa kujizuia na kutoa sababu zinazomfanya aamini kuwa Nigeria na Afrika...
Man United, Amorim kuna jambo haliko sawa UHUSIANO kati ya kocha wa Manchester United, Ruben Amorim, na baadhi ya viongozi wa timu hiyo kwa sasa unadaiwa kuharibika.
Rice: Nilikasirika sana kuikosa Aston Villa KIUNGO wa Arsenal, Declan Rice amekiri kuwa alikuwa “amekasirika sana” baada ya kukosa kucheza mechi ya timu yake dhidi ya Aston Villa kutokana na jeraha la goti.
Kocha Msumbiji aitega Nigeria kiaina KOCHA mkuu wa Msumbiji, Chiquinho Conde, ameonyesha imani kubwa na uwezo wa timu yake kuelekea mechi ya hatua ya 16 bora ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Nigeria, huku akikubali...
Lejendi azigonganisha Chelsea, Liverpool LEJENDI wa Chelsea, Joe Cole ameiingiza vitani timu hiyo dhidi ya Liverpool baada ya kuweka wazi kwamba kocha Jurgen Klopp ni mmoja kati ya wale wanaoweza kuchukua mikoba ya Enzo Maresca
Sami Trabelsi abeba mzigo wa lawama KIPA namba moja wa Yanga, Diarra Djigui usiku wa juzi alikuwa shujaa wa timu ya taifa ya Mali, baada ya kuokoa penalti mbili na kuivusha kimiujiza timu hiyo kucheza robo fainali ya michuano ya...
Joshua afunguka kwa mara ya kwanza BONDIA raia wa England, Anthony Joshua ameposti kwenye mitandao ya kijamii kwa mara ya kwanza tangu alipopata ajali ya gari iliyoua marafiki wake wawili wa karibu nchini Nigeria.
Kiroho safi, Maresca aacha mabilioni Chelsea KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca anadaiwa kuwa amekataa malipo ya mamilioni ya Pauni baada ya kuondoka Chelsea.
Utamu wa Ligi Kuu England na leo tena! BALAA hilo. Chelsea itakayokuwa bila ya huduma ya kocha wake mkuu, Enzo Maresca itakuwa na kasheshe zito huko Etihad itakapokwenda kukabiliana na Manchester City kwenye mchakamchaka wa Ligi Kuu...