Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9723 results for Mwandishi :

  1. Msikie Enzo Maresca ishu ya nidhamu mbovu Chelsea

    JINAMIZI la kadi nyekundu limeendelea kuikabili Chelsea ambayo sasa mechi nne za karibuni wachezaji wake watatu wamekumbana na adhabu hiyo baada ya jana Joao Pedro kutolewa uwanjani kwenye mechi...

    MARESCA Pict
  2. Saliba afunguka kuikacha Real Madrid

    BEKI kisiki wa Arsenal, William Saliba ameweka wazi kwamba alikataa kujiunga na Real Madrid na kuendelea kubalia Arsenal kwa sababu bado hajakamilisha jambo moja ambalo ni kushinda mataji na...

    SALIBa Pict
  3. Barcelona yasema jambo ishu ya Rashford

    MKURUGENZI wa michezo wa Barcelona, Deco amesisitiza kwamba klabu hiyo imevutiwa sana na kiwango ambacho mshambuliaji wa kimataifa wa England, Marcus Rashford amekionyesha lakini haitokuwa na...

    RASHRORD Pict
  4. Van Dijk, Mo Salah waangushiwa jumba Liverpool

    WAYNE Rooney amesema mastaa wawili wa Liverpool, Virgil van Dijk na Mohamed Salah wanapaswa kupambana kwa nguvu zao kumsaidia Kocha Arne Slot.

    LIVERPOOL Pict
  5. Tatizo la umeme laiponza Dodoma Jiji, yapokwa pointi tatu

    KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 27, 2025, imefikia uamuzi wa kuipa Pamba Jiji pointi tatu na mabao matatu kutokana na...

    KIKA 01
  6. Orlando Pirates yapindua meza,  yang'oka Ligi ya Mabingwa Afrika

    LICHA ya kulipa kisasi dhidi ya FC Lupopo ya DR Congo kwa kupata ushindi wa mabao 3-0 jioni hii katika pambano la marudiano la raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini vigogo hivyo vya...

    ORLANDO Pict
  7. Rais Barcelona ashtukia jambo, atupa kombora Real Madrid

    Rais wa Barcelona, Joan Laporta, ameishambulia klabu ya Real Madrid kwa madai ya kujaribu kuwatuhumu marefa kabla ya mechi ya El Clásico itakayopigwa leo Jumapili, Oktoba 26, 2025.

    BARCA Pict
  8. Slot: Hii haijawahi kutokea hapa Liverpool

    BAADA ya kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Brentford jana Jumamosi, Oktoba 25, Kocha wa Liverpool, Arne Slot amefunguka mechi hiyo ndiyo ilikuwa ya kwanza kwa wachezaji wake kucheza vibaya zaidi...

    SLOT Pict
  9. Kocha Manchester City hataki Haaland apumzike

    KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amekiri anaumia sana kuona straika wake Erling Haaland akicheza mechi nyingi mfululizo, lakini hawezi kumpumzisha kwa sasa.

    PEP Pict
  10. Kisa umaarufu, McTominay ataka kurudi England

    KIUNGO wa Napoli na timu ya taifa ya Scottland, Scott McTominay inadaiwa anaweza kurejea Ligi Kuu England mwakani kutokana na changamoto nyingi anazopitia nje ya Uwanja zinazosababishwa na...

    MC Pict
Previous

Page 252 of 973

Next