Morrison apewa mazoezi Yanga MABOSI wa Yanga wameshusha pumzi baada ya kusikia Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limesogeza mbele muda wa kuanza mashindano yake kwa ngazi ya klabu, lakini taarifa hizo zikafungua milango za...
ZILITRENDI: Simba, Yanga zakeshea juju Taifa TUNAENDELEA kuwakumbushia stori zilizotrendi miaka ya nyuma na leo, Juni 16 tunarudi hadi mwaka 2001 na kukuta habari inayohusu wanachama wa Simba, Yanga kukesha usiku kucha kwenye Uwanja wa Taifa...
Morrison anafuata nyayo za Okwi, Tambwe , Yanga kutokana na rekodi zake kuwa wazi tangu alipojiunga na Yanga. Hamis Kiiza Kiiza maarufu kama Diego, Mganda huyu mwenye rekodi nzuri ya ufungaji kwasasa anakipiga Kagera Sugar alifukuzwa na...
Yanga kambi mpya Marekani lake la kwanza. Kambi hiyo itakuwa ni maalumu kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu, ASFC na Ligi ya Mabingwa Afrika ambayo mabosi wanapiga hesabu kufika mbali na walipowahi kufikia watani...
TOC kuwapiga 'msasa' waandishi wa michezo nchini mwenyekiti wa Kamati hiyo, Henry Tandau. Amesema wamekuwa wakiulizwa maswali na baadhi ya wanahabari tofauti tofauti kuhusu majukumu ya TOC, mapato na matumizi na masuala mbalimbali yanayohusu...
Yanga, Simba ulinzi kama wote kwa Mkapa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi limejipanga vyema kiusalama kuelekea kwenye mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga uliopangwa...
Nabi: Tunaanza na hawa kwanza tuliyokuwa nao wa kujiandaa kwa ajili ya mchezo dhidi ya Simba tutakuwa na programu maalumu ya kufanya mazoezi na kucheza mechi zile za ndani ili kuona namna gani tunafanikiwa na kwenye...
JICHO LA MWEWE: Eti rafiki yangu Morrison analilia timu ya Taifa Ghana na acheze mara kwa mara kabla ya kuwa mchezaji wao muhimu zaidi katika michuano hiyo ambayo ingefanyika nchini kwao. Nimekumbuka kuhusu Neymar baada ya majuzi kuendelea kumsoma Bernard Morrison...
Mbuna atoa siri ya benchi Yanga alianza na ishu ya kukaa benchi. NAHODHA KUANZIA BENCHI Mbuna anaeleza kwa mara ya kwanza sababu ya kuanzia benchi, ilitokana ni aina ya majukumu maalumu aliyokuwa anakabidhiwa na makocha...
Revina daktari wa kike kwenye soka la kiume “NAPITIA mengi mazito.” Ndivyo anavyosema daktari wa timu ya Ken Gold, Revina Renatus akielezea kazi yake kwenye soka akiwa mwanamke pekee kuhudumia wachezaji wa kiume.